@pmakanshu_life_revival: Insulin resistance ni matokeo ya mwili kuwa na muitikio mdogo wa insulin na kupelekea magonjwa ya Kisukari. Na Kisukari ni matokeo ya: 1. Hifadhi ya seli kujaa na kushindwa kupokea hifadhi mpya ya sukari na Mafuta. 2. Kongosho kuzalisha insulin kidogo 3. Kuwa na mucus inayozuia seli zisiwe na muitikio wa insulin. Mambo hayo 5 niliyotaja yanaweza kukusaidia mpaka kupona Kisukari na magonjwa yaendanayo na Kisukari, Kama unahitaji kuwa chini ya uangalizi Wangu au elimu ya kina comment TIBA au nitumie ujumbe na kunipigia kwa namba 0754501193 au 0746956774. #kuishibilamagonjwainawezekana #drmakanshu #eachoneteachone #creatorsearchinsights #whatdoesdiabetesdo

Praxeda Makanshu
Praxeda Makanshu
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 09:21:24 GMT
6401
130
5
13

Music

Download

Comments

user606135613502
mina :
unapatikana wapi
2026-08-16 13:21:10
1
solotangomhondo
ابوو مجهدىن :
unapatikana wapa mam angu
2026-08-13 07:17:54
1
veronica.lukanda
Veronica Lukanda :
Ameen hilo la mwisho Mungu atusaidie namna ya kuishi na viumbe wake maana stress ni tatizo.
2026-08-20 15:58:43
0
ruth.simon07
Ruth Simon :
Namshukuru mungu sana kupitia Doctor Pmakanshu, nilikuwa nasumbuliwa sana na plesha baada ya kutumia dawa zake nakutumia vyakula sahihi nimepona kabisa, tusiidhalau asli,kuishi bila magonjwa inawezekana
2026-08-13 12:32:56
1
To see more videos from user @pmakanshu_life_revival, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About