@car.true.report: Una haki ya kupata gari zuri ndugu yangu, usiuziwe mgari mbovu wakati umelipa pesa zako nyingi ambazo umezipata kwa jasho Unapoagiza Gari kutoka Japan hakikisha unaunua kwanza auction Report ili kuhua historia ya gari hiyo, ili usipate hasara. Tembelea website yetu 🌐www.cartruereport.com #CarTrueReport #carreport #cars #carmileage

Car True Report™
Car True Report™
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 05:16:00 GMT
5080
56
1
7

Music

Download

Comments

homeboy_35
A_OG :
Kwani hiyo report na yenywe haiwezi kuwa ya uongo🤔? just asking...
2026-08-13 08:05:48
0
To see more videos from user @car.true.report, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About