@waizer.it: Kesi ya mauaji ya tupac imeanza upya baada ya 30 years baada ya mauaji yake😮‍💨😮‍💨Nani alipanga mauaji ya Tupac?

Waizer
Waizer
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 09:26:37 GMT
73067
3886
156
71

Music

Download

Comments

hans_perez_
Hassanblack🇳🇴🇹🇿 :
i love your stories ❤️
2026-08-12 13:35:48
2
louh022
Bilouh🤎 :
Amekufa 1996 ila kuna mtoto wa 2000 anajiita 2pac 😄😄😄😄😄😄
2026-08-12 12:03:41
59
ally.abasi64
ally abasi :
real Muslim don't find who kill as we know from holy Quran
2026-08-12 15:08:46
0
mutraaa2
Loved❤️ :
Dada unakichwa bhna kipaji chako yooh is topnotch👌🏽❤️
2026-08-12 14:19:21
0
.queentupacshakurf
Lucky2pac❤🤞 🔥👑❤ :
may her rest in peace 🕊️💔💔😭🫂
2026-08-12 13:30:54
7
iranah04
iranah chocky :
Plz network yang cjui aipo stable plz nurudisheni apa nine kusikiliza plzzz😊
2026-08-12 09:36:01
156
tauyagodess
Tauya Godess :
Me i love you ❤️😘
2026-08-12 15:00:20
0
hoodhomie3
HoodHomie :
Tupac is alive.
2026-08-12 10:51:18
1
aimcandy2
AIM CANDY🦋 :
kwaiy mkituhadithia atafufuka tena🥺🥺🥺🥺
2026-08-12 10:04:11
1
shannyflow6
girl💋smith💙 :
mchambuzi wangu 🥰
2026-08-12 11:45:30
5
daboss540
pendoh♥️♥️ :
mm najuaga yupogo hai uyoo Tupac 😳
2026-08-12 11:25:55
5
sister5t7
🤪🐈‍⬛ :
NEEEEEXT😁
2026-08-12 11:22:37
1
kamariahb
baby mamu :
i like that Yan marekan ataufe mwak gn lazim hakiak itafitw na ipatikn sio huk Yan ukiw huna connection na ela umeish at ue nahak kias gn
2026-08-12 12:04:02
5
nkamba007
Nkamba007 :
The first shot ya Tupac ilikuwa kweny lobby akiwa anaelekea ndani ya chumba cha studio na sio ndani ya studio
2026-08-12 10:15:44
5
ummyhajra0
ummy hajra💞 :
apo Nina mwaka mmoja mwanetu
2026-08-12 14:36:51
0
noora.mo12
Noora mo :
East Coast ni kundi maarufu pale upanga enzi zileee akiwemo AY, mwana FA na wengine sijui wanahusika na mauwaji ya 2PAC😂😳
2026-08-12 11:10:17
4
sshantyh
𑣲 :
ni video inaganda au
2026-08-12 09:47:32
1
given.dymer
G Dymer :
huy ndo king wa fashion asee 😁😁
2026-08-12 13:49:04
3
collehytony
Lady C🌹❤️ :
eeeh
2026-08-12 13:34:39
1
vejoseph6
Momove💞 :
Naomba matukio ya zamani sn yani enzi hizo hata darasa la kwanza sijaanza yasije mbele yangu cz sielewi😂😂😂😂😂
2026-08-12 13:24:36
1
funny.daz97
funny daz :
Tupac kafarik kaka angu ndo anazaliwa na mwez ujao anafunga ndoa😁😁
2026-08-12 12:48:33
0
ofcourse858
it's me💫💙 :
mnirudishe hapa niskize tena hii story niko n haraka sai😂😂😂😂
2026-08-12 12:31:03
4
To see more videos from user @waizer.it, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About