"hata kama haijawa kama vile tunataka tutaendelea kumshukuru Mungu kwa zawadi ya UHAI"😭😭🙏🙏
2026-08-12 10:50:19
147
Valentine Faustine. :
Rasta man never die
2026-08-12 15:09:56
0
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Basiiiii sasa mtu asije kuniita masikin tena Mimi kumbe ukishazaliwa imeisha hiyo 😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-12 10:48:42
63
Weusi :
kasha lose hope.😂
2026-08-12 12:50:02
0
aishanassoro88 :
xax nashida gn 😂😂😂😂
2026-08-12 15:11:47
0
Japhaly Yasini :
point Sana mwamba
2026-08-12 15:18:25
0
#Lemann mbalwa@ :
mojakwamja stats 😂😂😂😂
2026-08-12 09:51:19
0
The Lastborn :
hakuna kitu kizuri kama Amani katika maisha, nimekuelewa kaka
2026-08-12 10:14:51
119
anna steven :
😂😂😂 kuzaliwa tu nimefanikiwa
2026-08-12 09:41:02
57
samuel :
factz man
2026-08-12 11:17:37
1
Ngoshamusic1 :
wachache ndo wanaweza kumuelewa rasta 😂
2026-08-12 11:28:26
34
SIBO MP ⛎ :
Sasa nashida gani😂
2026-08-12 11:07:41
11
Irene❤️❤️ :
Kwan hyu na yule nikuokotee nawe ni tofauti
2026-08-12 12:39:31
5
Irshaad :
Huyu jamaa ana elements za ki genius,
hebu mtazame anavyomsikiliza mwenzake. Alafu cheki muda ulivyo mfupi tangu anaulizwa mpaka kujibu.
Quick and sharp thinking.
Kuna kitu kidogo tu hakipo sawa hapa.
Anatibika vizuri.
2026-08-12 11:01:07
17
RUFIJI+KIBITI +MAFIA :
jamaa anaakili kubwa sana kuhusu uwepo wake na uwezo wa mungu
2026-08-12 10:12:41
18
Gervas I Sigili :
Asante....🤣🤣🤣🤣
2026-08-12 15:50:37
0
kivuruge@ :
najua sio www tu mpo weng Mali za nn😭😭😭
2026-08-12 10:23:06
9
msigwa njombe :
kumbe jamaa ni genius
2026-08-12 10:20:28
4
mam sameer :
mim nina helicopter 🚁 ipo nyumbn 😅😅😅
2026-08-12 10:08:58
7
£sther ernest💞🌹 :
10/10 nalip chap
2026-08-12 15:45:25
0
Prophet Dany Anthony :
maisha siyo gari Wala fedha,maisha ni uhai
2026-08-12 15:14:38
3
EAST BOY :
et Nina erikopta ipo nyumbani🤣🤣🤣
2026-08-12 10:54:24
1
mom lee 994 :
kumbuka kuna den la taifa unadaiwa😂😂😂
2026-08-12 15:23:04
2
BENADETHA 362 :
Wakati mwingine tu shukru tu Mungu
2026-08-12 12:43:34
1
To see more videos from user @fixfox255, please go to the Tikwm
homepage.