@hubofwisdom.inc: "Ni heri kumiliki vijibwa vidogo vyenye kutoa maziwa kuliko misimba iliyokufa, na ni makosa kukomba maharage kwanza kisha kula ugali." Anasema Mwl. Emilian Busara katika sehemu hii ya tatu akieleza kuhusu vipaumbele, utaratibu wa kusaidia wengine na umiliki wa mali zaenye kuzalisha. Anaeleza haya na mambo mengine yaliyopo katika mtiririko wa mikakati ya msingi inayoweka ramani sahihi ya safari yako ya kifedha na kukusaidia kujenga utajiri kimkakati. 📌 Tazama kupitia Hub of wisdom kwa njia ya YouTube na usikose sehemu ya kwanza na hadi mwisho ya mtiririko wa msingi hii ya mkakati wa ukuaji kiuchumi. Je, unazingatia vipaumbele kwa kufanya mambo kwa utaratibu wenye kuleta tija? Tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media ------------------------ Video Credits: CCWC Church #EmilianBusara #MafanikioKiuchumi #Uwekezaji #Biashara #FinancialFreedom #HWMedia #Vipaumbele

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: EN
Wednesday 12 August 2026 10:18:29 GMT
23323
804
10
102

Music

Download

Comments

a.gicheru
ANTONY GICHERU :
Kama nikiwa sina pesa munanikataa nikizipata musinionyeshe jinsi ya kuishi
2026-08-12 10:42:11
2
saidikaluma2
𝑬𝒓𝒐𝒏 𝑪𝒓𝒆𝒔𝒕 :
𝒂𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂
2026-08-14 17:25:06
0
mammymkunde
mammymkunde :
semaaa babah
2026-08-13 03:21:19
0
emmanuelkant232
Emmanuel Kant :
mimi kwa upande wangu minafikiri kukuwa n'a nyumba baadaye itafata mwanamuke n'a shamba sasa☺️
2026-08-12 14:29:17
1
steventagaya
Steve Ntagaya :
😂
2026-08-13 07:27:44
1
steventagaya
Steve Ntagaya :
😁
2026-08-13 07:27:41
0
steventagaya
Steve Ntagaya :
🥰
2026-08-13 07:27:40
0
abraham62643
Abraham :
🥰🥰🥰
2026-08-13 07:09:54
0
arsh6190
PMEng :
🥰🥰🥰
2026-08-12 15:37:39
0
mahengeangel59
angelmahenge501 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-13 17:38:09
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About