kweli wabunge wamechoshwa jaman mpk wanaongea poit
2026-08-28 05:10:22
1
barakabenajemenbenedikojmkalsm :
mmmh uko vizur
2026-08-17 19:53:02
4
Samwel Paulo :
Mungu tusaidie
2026-08-16 15:07:58
2
user5104033747935 :
hii ndiyo ilikuwa bungeee
2026-08-28 04:35:16
1
Ally khan :
Asante mweshimiwa
2026-08-19 06:09:37
1
Rughe Madevu :
Hongera sana Mh Lema kwa Taranta Uliyopewa na mwenyezi mungu na kufikisha ujumbe huu ktk jamiii
2026-08-17 07:37:19
6
Enock Makoga :
utabiri wako unatimia
2026-08-12 13:04:59
2
Marko Mgaya :
Leo yametimia
2026-08-19 17:07:21
1
Rachnaa :
Asante sana ww nani mbona sikujui uko vizuri
2026-08-27 13:44:38
1
J3 MATONGE :
Watu kama hawa ndio tunaowataka
2026-08-26 13:27:10
1
stay single MS :
Nt,, ndo taifa ambalo Raisi yupo juu ya sheria na siyo chini ya sheria,, yaan hata akiataka lifanyike jambo lisilo la haki hamna chombo cha mhoji wala viongozi wengi wakienda kinyume cha katiba ya taifa hamna chambo cha kumshurutisha juu ya kosa lake,, siasa mchezo mbya sana unaweza ukala na adui yako akakusogezea na maji ya kunywa then anakunawisha na mikono kumbe ndo fisi unaye mtafuta
2026-08-17 11:40:19
1
Yohana Kirwaha :
2026-08-29 07:19:40
0
Zainab Rasheed :
tumpe maua yake lema
2026-08-29 04:41:51
0
rehema :
poleni
2026-08-28 21:41:19
0
To see more videos from user @dotto.mwanarobert, please go to the Tikwm
homepage.