@barnabaclassic: MAISHA YETU YAMEJAA CHANGAMOTO. KUNA NYAKATI TUNAPITIA MAMBO MAZITO KIASI KWAMBA HATUNA HATA NGUVU YA KUMWAMBIA MTU KILE TUNACHOKIPITIA. ๐Ÿ˜ขโค๏ธโ€๐Ÿฉน KUNA WAKATI UNAWEZA KUCHEKA MBELE ZA WATU, LAKINI MOYONI UKAWA UNALIA KIMYA KIMYA. NATAKA NIKUPE MOYO: USIKATE TAMAA. ๐Ÿ™๐Ÿพ MUNGU YUKO PAMOJA NAWE, HATA KAMA HUUMUONI. ENDELEA KUOMBA, KUAMINI NA KUPAMBANA. ANAONA MACHOZI YAKO, ANASIKIA MAOMBI YAKO NA ANAJUA KILA UNACHOPITIA. STILL BADO NIKIWA NAMUUGUZA BABA YANGU MZAZI โœŠ๐ŸผLAKINI ANINYIMI TABASAMU ๐Ÿ˜Š๐Ÿ™๐Ÿพ MWEZI MMOJA ULIOPITA NILIPATA AJALI YA MOTO, NA NIKAPITIA HALI AMBAYO SITAKUJA KUSAHAU. LAKINI SIKULALAMIKA. NILIMSHUKURU MUNGU, NIKAKUBALI KILICHOTOKEA NA NIKASEMA: โ€œMUNGU AKIANZISHA JAMBO JUU YANGU, ATAKAMILISHA.โ€ ๐Ÿ™๐Ÿพ LEO, BAADA YA SIKU 34 TU, NIMEKAMILISHA OFISI YANGU MPYA. @hightablesound & @hightablefilm /SI KWA NGUVU ZANGU, BALI KWA BARAKA NA NEEMA ZA MUNGU. โœŠ๐Ÿผ๐Ÿ”ฅ NDIYO MAANA NIMEAMUA KUTOA WIMBO HUU, #NAJIPAMBANIA, KWA WAPAMBANAJI WOTE WANAOPITIA CHANGAMOTO NA MAPAMBANO AMBAYO WENGINE HAWAYAONI. WANAOTABASAMU MBELE ZA WATU, LAKINI MOYONI WAMECHOKA. โค๏ธโ€๐Ÿฉน USIKATE TAMAA. ENDELEA KUOMBA, ONGEZA BIDII NA SIMAMA TENA. KUNA SEHEMU NZURI YA KUTUA MZIGO HUO AMBAYO MUNGU AMEKUANDALIA. HAKUNA GUMU KWA MUNGU. KILE ALICHOANZISHA JUU YAKO, ATAKIKAMILISHA. KILE KINACHOKUUMIZA LEO, SIKU MOJA KITAKUWA SEHEMU YA USHUHUDA WAKO. ๐Ÿ™๐ŸพโœŠ๐Ÿผ WIMBO UPO SASA KWENYE YOUTUBE, AUDIOMACK NA BOOMPLAY. KUPITIA PLATFORMS ZINGINE ZOTE, MTAUPATA JUMATATU IJAYO. LINK IPO KWENYE BIO YANGU. โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ SONG ๐ŸŽต #๐๐€๐‰๐ˆ๐๐€๐Œ๐๐€๐๐ˆ๐€ STARING: @barnabaclassic MIXING MASTERING @lizerclassic VIDEO ๐ŸŽž๏ธ @skye_.lamont BIG SOSO/ TO MY SON @bamboy_tz โœŠ๐Ÿผ #tanzaniantiktok๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #kenyantiktok๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช #fpy #tiktok

Barnabaclassic
Barnabaclassic
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 10:42:23 GMT
7810
1077
28
7

Music

Download

Comments

bernardkasongo90
bernardkasongo90 :
one day
2026-08-12 20:29:39
0
albi0650
Albi ๐Ÿซฐ๐Ÿผ :
Respect ๐Ÿซก ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
2026-08-12 21:21:56
0
user25261853061048
msabila83 :
Barnaba classic on fire
2026-08-12 11:45:04
0
danlove977
danlove :
uyu kaka anakipaji sana alitakiwa awe levo za kina ali na Nasibu sema wengi tunaogopa kafara ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-12 10:57:16
2
bayanna.bwoy
Bayanna Bwoy :
huyu jamaa ni moto sana
2026-08-13 05:01:58
0
sonnyviral
Sonny :
ankoo๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
2026-08-12 10:59:42
0
mr96658
Mr :
๐Ÿฅบ๐Ÿ’ž
2026-08-12 11:01:53
0
chris.mbad
Chris Mbad :
Huu wimbo umenigusa sana bro๐Ÿ™๐Ÿ™
2026-08-12 21:14:31
0
bamboy_tz
Bam Boy :
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ king ๐Ÿ‘‘
2026-08-12 11:33:51
0
officialmaasaiqueen7
Maasai Queen๐Ÿ‘‘โค๏ธ :
Umeniliza sana huu wimbo kaka๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
2026-08-12 10:53:45
0
pam_diva
pam ๐Ÿ’‹๐Ÿญ :
nomaa sana hii ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
2026-08-12 17:08:52
1
buto3129
Buto :
wakwanza Leo
2026-08-12 10:50:16
0
user8243865614151
rey qeen๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž :
Hakazeek aka๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
2026-08-12 19:50:07
0
chief_godlove
CHIEF GODLOVE :
Moja kati ya pumbu kali sana
2026-08-12 15:09:59
0
mr.swahili4
Mr.swahili :
Mopao
2026-08-12 10:46:52
0
shaky_tz
Shaky Tz :
๐Ÿ”ฅ
2026-08-12 21:24:33
0
super_mkali
super mkaliโญ :
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ›ซ
2026-08-12 10:45:45
0
dennymusic07
DENNY MUSIC๐ŸŽค๐ŸŽค :
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
2026-08-12 15:03:19
0
yeye.mardin
YeYe Mardin :
๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ
2026-08-12 20:06:23
0
joharuth2
joharuth :
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
2026-08-12 11:09:42
0
sophia.alex98
official soso :
๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
2026-08-12 11:31:33
0
eric.mandala81
Eric mandala .Umwana w,umwami :
๐Ÿฅฐ
2026-08-12 21:23:25
0
afande.spido
Afande Spido :
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
2026-08-12 22:49:23
0
lopeyok254
NI LOPEYOK :
๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
2026-08-12 10:45:01
0
To see more videos from user @barnabaclassic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About