@jambofmtz_: Baada ya sintofahamu na maswali mseto kuibuka kufuatia mkasa wa kijana kunasa katika duka akiarifiwa Kuhitaji kuiba, Jambo fm imeendelea na jitihada za Kutafuta ukweli halisi na kufanikiwa kumpata Mwenye duka ambaye Anasadikika kuwa ndiye mtegaji wa Mtego huo uliyemning'iniza kijana kwa Muda wa takribani masaa 4. Katika mazungumzo kwa njia ya simu na Mwanamaisha fresh Mwenye duka Ameeleza mkasa mzima na akikiri Kufahamu juu ya muktadha wa tukio, na hii ni ripoti ya kina. Taarifa yake @officialgdgideon Imeendaliwa na @afisa3_official na kusimuliwa na @official_chilato #jambofmtanzania #chaguamaishafresh
kaka type namba ya huyo mganga tunaumizwa huku wezio tusaidie naomba
2026-08-12 13:05:06
15
Baby p🫦🫦😘 :
Naomba namba yako nimechoka. Kuibuwa jaman
2026-08-12 13:29:03
11
BlackJewish :
Kwa hiyo Festo hakusikia
2026-08-12 13:35:06
5
jojo234 :
hakuna haja ya CCTV camera😂
2026-08-12 18:59:03
1
Kuchuma Mary :
sasa c funguo anayo kwanini apite huku?
2026-08-12 15:04:00
5
Wishjuniortz :
festo hakusikia by then😂
2026-08-12 13:07:31
3
Agrey Joseph :
Kwa sisi tuliosoma phisics ni kwamba mkono ulipo ingia umeloki kwa sababu sihemu ya kukanyaga kujiinua ili achomoe mkono hamna kwaiyo papi imembana kwa ndani na hilo bati lipo juu kidogo
2026-08-12 13:23:34
7
Gee98 :
Huyu sio mwizi ni mwenye duka jamani 😂😂
2026-08-12 12:56:22
9
yunicosmetics :
MKIPATA NO YA MGANGA NAOMBENI
2026-08-12 13:04:49
5
agnesayo4 :
mmmmmm
2026-08-12 12:15:56
0
Mama ake chris ♥️ :
jamaaaniii naomba namba ya mganga wako please
2026-08-12 12:57:49
3
benzo8 :
Mkuu hizo ni code😂
2026-08-12 15:46:31
3
Hawabeautystores🎀🛍️ :
Nashindwa ku elewaa
2026-08-12 14:21:11
3
️ :
Hapa kuna watu watatapeliwa
2026-08-12 13:48:03
1
Mage accessories :
mfanyakaz anafadhiliwa ila afadhiliki Sasa unamwibia had mtu anakununulia simu
2026-08-12 15:36:29
1
ellyn🥰 :
😂😂😂😂by then tupe namba ya mganga jmn😂😂😂
2026-08-12 15:06:19
1
Maiko Msigwa :
mkuu wanaona mtuakiweka biashara niboya awajui uliazia wapi Sasa nipe kodi mkuu Mimi mwenyewe wananitesa sana nipe kodi
2026-08-12 16:13:08
2
Secret Tanzania 🇹🇿 :
Naomba hiyo code mkuu 😂😂😂😂# usiguse
2026-08-12 11:44:04
4
Saleh Leon's :
hii nimeipenda,tunaibiwa sana kwenye maduka yetu naombeni no ya Mganga
2026-08-12 12:29:20
4
Pastory :
Yan radio kubwa inazua taharuk za kipuuzi/ngoja watu watapeliwe kwa mambo ya kijanga
2026-08-12 13:56:54
2
To see more videos from user @jambofmtz_, please go to the Tikwm
homepage.