hakuna makubariano bila pesa Mimi ni Simba ila Simba saivi ni wahuni tu
2026-08-12 12:25:02
1
Samson Lucas :
mimi kama simba sjaona umuimu wa Seleman akiwa simba. Alafu angekua ni bola. why dad wasinge muacha aje yanga. sisi watanzania tumetawaliwana kukuza mambo. Seleman sio foward wakutusaidia simba malamia tubakina viungo pekee
2026-08-12 11:49:21
1
Gidioni Aloyce :
mbona maneno mengi shida nn
2026-08-12 17:24:23
0
innocent alex :
mnauhakika yanga wametoa hela wasije wakafungiwa tena
2026-08-12 12:39:01
0
mbegus :
simba ndio walikuwa waswahili kwenye hiyo deal
2026-08-12 12:10:48
1
taus :
p
2026-08-12 12:05:06
0
To see more videos from user @jaysontz2, please go to the Tikwm
homepage.