@verossa_thrift_store: 💙👶 Moms wa watoto wa miezi 12–18, hizi set za bodysuit na suruali zimefika. Set nzuri na zenye comfort kwa mtoto wako, zinafaa kwa matumizi ya kila siku huku mtoto akiwa huru kucheza na kutembea. 🛍️ Zipo pcs 15 kwenye video 📦 Tunaanzia pcs 5 tu = 35,000/- ✅ Unaweza kuchukua pcs 5 au zaidi kulingana na uhitaji wako. ⚠️ Tahadhari: Umri unaoandikwa ni makadirio tu. Watoto hutofautiana maumbo na ukubwa wa miili, hivyo ni vyema kuthibitisha size kabla ya kuagiza. 📩 Karibu whatsapp kuchagua design unazozipenda kabla hazijaisha. #babyboystyle #toddlerfashion #babyclothes