@bassam3sh:

bassam
bassam
Open In TikTok:
Region: IL
Wednesday 12 August 2026 11:21:22 GMT
11
1
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @bassam3sh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

In all honesty, I like how men think. Umewahi kusikia huu msemo? “The wife a man chooses becomes part of who he becomes. By choosing his wife, he is choosing his future, his home, his legacy, and in many ways, himself”  Mwanaume anapokuwa TAYARI kuchagua mke, kwa namna fulani anajichagua yeye mwenyewe na maisha yake. Aina ya mke anayemchagua itaathiri maisha yake, wito wake, tabia yake, hatima yake na urithi wake. Hachagui tu mtu wa kuishi naye, anachagua mama wa watoto wake, mazingira ya nyumba yake na familia. Mithali 18:22 Biblia inasema: Apataye mke hupata kitu chema, naye hupata kibali kwa BWANA. Kuna jambo la kutafakari hapa…Biblia haisemi, “He who falls in love.” Inasema, “He who finds a wife.”  uchaguzi wa kusudi, hekima na utambuzi, sio hisia pekee. Mpangilio wa Biblia ni huu: • Kwanza kuna uchaguzi wa hekima. • Halafu kuna agano la ndoa. • Ndipo upendo unakuwa amri na wajibu wa kila siku kwa mume Baada ya kuoa, ndio Mungu anamwamuru mume Waefeso 5:25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa. Mume wa kiungu hachagui kwa hisia pekee. Huchagua Sawa Sawa na Neno la Mungu maombi, hekima, tabia, maadili, maono na kusudi la Mungu. Na kama mpangilio wa Mungu ulivyo: Mungu → Kristo → Mume → Mke → Watoto. Mume anamwakilisha Kristo ndani ya familia. Ni kiongozi, mbeba maono wa familia yake. A husband sees his wife beyond today. Anaona miaka 3, 5, hata 10 ijayo. Anawekeza ndani yake, anamsaidia kukua, anamfungulia fursa, anamtia moyo, anamjenga na kumuandaa afikie kusudi ambalo Mungu ameweka ndani yake kadiri ya uwezo aliopewa.  Kununuliwa simu, au zawadi si kitu kibaya. Lakini usimpime mwanaume kwa uwezo wake wa kukupa vitu pekee. Usimweke kwenye kisanduku cha “provider” tu. A Godly man is more than a provider.
Ni mtu anayekusukuma ukue na kuwa bora. Na kwa mwanamke pia, chagua a mwanaume kwa ajili yako, watoto wako, kiongozi bora mwenye maono, maadili, muadilifu.  Lakini pia mwanamke tambua  Your growth increases your attractiveness.  Grow in the things of God. Know yourself.  Grow in your character. Grow in your career. Grow in your finances. Grow in your calling. #kingdommarriage✝️👑💍 #fyppppppppppppppppppppppp #tiktokviral #tiktoktanzania🇹🇿

About