@its.vinny_4: Ni zaidi ya aviator 🙌😁 #cheatingboyfriend #cheatinggirlfriend

North Icon
North Icon
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 11:25:20 GMT
56564
3535
106
370

Music

Download

Comments

robot41196
robot! :
2026-08-12 15:26:23
2
user4718562577368
Fly hiro :
Gudu Bai😎
2026-08-12 13:18:26
6
gugaamour
Amourguga1 :
Binafsi nilikuwa nabisha ila leo acha nami niwe shuhuda kwa Mrangi anaetukana atukane tu ila ukweli ndio huo hawajatulia kwa kweli
2026-08-12 14:09:15
17
angelcah.zephania
Cute angel🪽 :
wazigua hatupo hivo
2026-08-12 20:55:34
1
botokigangajr
Boto Kiganga Jr. :
mm mwenyewe mzalamo ila wazalamo hapana kwakeli
2026-08-12 15:54:16
7
officialmillanx0
millan :
wahayaaa 😂😂😂 woiiiii
2026-08-12 14:11:53
4
user8399258841745
@Bilal :
mie natoa ushuhuda kw mzaram ww ach broo hawajatulia
2026-08-12 20:03:34
1
user9781777696538
caxh money 💔💔💔 :
tuliokuja kusoma coment gonga like
2026-08-12 20:14:15
1
uddahg
uddah :
kwann jirani zetu lakini
2026-08-12 15:31:36
2
22value159
YOUNG RIDER 1590 :
warangi wapo wap?
2026-08-12 19:10:01
0
msafi77484
Footballer :
hii ni media gani
2026-08-12 17:23:55
1
madison8207
@Madison Tz🇹🇿 :
Kabisa Mzee Wanyaturu Mhmhmh zaman nilikua nabishaga
2026-08-12 19:21:56
1
jerrykhan69
Jerrykhan69 :
Sasa mwanangu ila sawa😁😁
2026-08-12 16:52:14
1
dutch.family0
Dutch Family :
kabisa
2026-08-12 13:10:59
2
blackpower677
BLACK POWER STICKER 😋 :
mrangii😁🙌🙌🙌
2026-08-12 22:05:57
0
dauson496
DAUSON :
hahahaha
2026-08-12 16:44:22
1
kalikalanje89
Kalikalanje :
inategemea na tabia ya mtu, acheni kuchafua kabila za wengine 🚮
2026-08-12 17:56:06
1
elishajohn829
Elisha John :
wote bhnaaaa unatusema vibaya
2026-08-12 14:00:10
2
user4015455996613
paulo mwaluko no :
Noma sana
2026-08-12 21:14:44
0
lbnj49
LB🖤 :
😂😂😂 sina cha kucoment mtu anaolewa afu anakwambia kucheet ni kawaida tu
2026-08-12 20:56:19
0
27hna
jullyjohn435 :
mke wangu nimoto 🤣
2026-08-12 21:22:53
0
rachelhussein
Rachel Hussein :
mh kwaiyo wazigua atuolew 😂😂
2026-08-12 22:26:35
0
shwaibu2002
MAGODORO CHAP CHAP :
kweliiii kabisaaa
2026-08-12 22:34:54
0
richiee4655
richie :
mbna kama future wife yupo kwenye kabila moja apo
2026-08-12 21:18:19
0
melichomasengo
Melicho Masengo🧢 :
wahehe hatuna mbambamba
2026-08-12 17:06:19
0
To see more videos from user @its.vinny_4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About