Erick Kalani :
niliwai fanyiwa hivi, wakati Huo nilikuwa Shule, Ila nilikuwa najikakamua nakopa, angalau tunakula, hata kama Ni Mara moja au mbili Kwa siku, Kwa sababu yeye alibahatika kupata kazi akawa Na pesa, akapata mwanya Wa kujibeba, nilimwambia Ikiwa umebahatika Na unaona umetosha kujikalisha, toka nenda,😅😅😅, tangu iyo siku aliniheshimu, Mungu Nae akanineemesha, sikuwa Na kazi Ila pesa nilikuwa napata Kwa mapenzi ya Mungu, Shule nikamaliza, kazi nikapata, mshahara mnono, Jina la Bwana libarikiwe, shida unazozipitia ndio mlango Wa Baraka yako, Amini Mungu kaka!
2026-08-16 20:02:51