dr njiku samahan naomba kuuliza ayo majani uchungu ndio ndulele[nyanyapoli] mim bad sijayatambua bad
2026-08-12 17:20:48
1
Iron Tcher :
Masha'Allah
2026-08-12 14:19:28
1
ukithy tahiyah :
asalamalekum.mwalim.nimefanya ile dawa ya asali bado sikumbuki ndoto.
2026-08-12 15:38:31
1
Halima The hustler 💪💃💃 :
Kaka naomba namba yako ya WhatsApp tafathali
2026-08-12 20:34:54
0
Emma Mwenda :
Yn km mimi upepo umenipa wakati mgumu huu mwaka yn nimeachika kabisa mwanaume ananiona km jn, miaka 19 ananiacha hivi naomba nisaidie naona km moyo umechoka
2026-08-13 06:13:06
0
smart girl :
hayo majani uchungu kwa jina jengine yanaitwaj
2026-08-12 17:44:23
0
Rehema kiwingu :
samahni kaka ayo mjan uchungu ni majani ya mti gani Jina rengine
2026-08-12 18:19:31
0
Jestina Tabiana :
naomba dawa ya kumtapisha mtu aliyelishwa madawa
2026-08-12 22:12:49
0
jacq :
Mungu akubariki Ustaz
2026-08-12 15:28:38
0
swabrina :
mwenyezi mungu akulinde na hazad
2026-08-12 16:00:20
0
Lovely Manchester city :
Assalamualaikum kaka hapa kwa kwetu Kuna wa dudu lizard 🦎 za white alfu usiku ziko na sound hata hatujua tufanya nini
2026-08-12 21:06:05
0
Boss Mama♥️ :
natatizika na hayo majani machungu sijayajua dr please tueke picha kamili
2026-08-12 18:30:24
0
mamasu :
haya majani mengne jina jengine nn
2026-08-12 14:24:44
0
Goodsmile💞💞 :
kila siku unaweka majani mapya?
2026-08-12 13:49:15
0
mchuchu🦋🦋🦋🦋 :
waalekumsalamu warahamatullh wabarakat kaka naomb unisaidia daw ya kumtuliz mume wngu. nakuomb kaka y gu nateseka sn mume wngu katekwa
2026-08-12 13:52:41
0
lady tee :
piga picha vizur ya hayo majani uchungu jina lengine
2026-08-12 22:36:07
0
innocentgerald61 :
🙏
2026-08-12 13:37:33
0
Lulu Nassor Sweetpie :
Allah azidi kukubariki kiafya na kipato @🧿🧘🏽Dr Njiku🧘🏽🧿
2026-08-12 13:37:42
0
resperadhiambo :
🥰🥰🥰
2026-08-12 23:15:32
0
فقير الطريقة الرحمانية :
اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم تسليما
2026-08-12 15:27:47
0
To see more videos from user @drnjiku, please go to the Tikwm
homepage.