@djsma255: ZANZIBAR PORT CITY! WANACHO FANYA ZANZIBAR NI KUTUHESHIMISHA KWA HI BANDARI MPYA!!! #DJSMA #DJSMA255 #ADVENTURE #FLIGHT #travelvlog #IPHONE17 #FOREST #IPHONE #SNS #TANZANIA #AFRICA #daresalaam #GEOPOLITICS #zanzibartanzania #zanzibar🇹🇿

SMA
SMA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 13:27:50 GMT
22758
928
49
212

Music

Download

Comments

nanacosmetic53
NanaCosmetic :
tupewe mamlaka kamili😂
2026-08-12 18:24:29
24
coolrunning.rasta
Coolrunning :
Hivi sheni alikua Ana kazi gani
2026-08-12 21:20:58
4
shabari433
Hamis Masud :
Sisi Bandari yetu ya Wete Pemba inatolewa ramani mpya kila siku ila haijengwi😂😂😂😂😂
2026-08-13 04:20:07
3
duluu25
It's me 🇧🇦🇱🇧🇬🇧🇺🇸🍁 :
ehee maana yote hayo hayana maana kama hatuna mamlaka kamili sikufuchi zanzibar ikiwa na mamlaka kamili bro itafika mbali sana s
2026-08-12 19:42:24
5
user5520554216145
Malcom :
Hii Bandari ipo wapi ?
2026-08-12 20:47:51
0
buraq342
Seaday :
hiyo bandari ina changamoto kubwa ya upepo jengeni breakwaters Ili kuwezesha meli kufunga salama.
2026-08-12 18:39:12
6
lunamashomeapplience
lunamas :
Nishangae mchoro ukose maduka😂😂😂ila mashallah kazi mzur
2026-08-12 18:35:35
6
milwaukee081
Buraq :
Mwinyi aongezewe muda
2026-08-13 03:41:28
1
mahan_quotes
Mahan_Quotes🧠 :
Asante sana Dj Smaa kw kuiongelea zanzibar mzee wa fuse tupo pamoja kila hatua dua
2026-08-13 05:14:37
2
munirfalcon
𝖒𝖚𝖓𝖊𝖊𝖗 𝖋𝖆𝖑𝖈𝖔𝖓 🦅 :
Huyu ndio van Diesel wa Tanzania?
2026-08-13 03:16:50
1
duliwapili3
Abduli-karim Khamadi :
noma sana
2026-08-13 04:03:46
1
aitharkhamis
Aithar Khamis :
mungano hatuutaki tunataka Zanzibar inamamlak kamili au serekali tatu
2026-08-12 19:38:23
3
abdulwahid198017
Abdulwahid :
Zanzibar maendeleo kwanza
2026-08-12 20:07:31
2
spayaya1
sp :
si mpaka ijengwe
2026-08-13 05:22:47
0
babaiye15
Babaiye :
Hii video rudia tena uwe na maik saut inasikikia vibaya halafu tuoneshe raman yabandar ya wete angalau tutoe unyonge
2026-08-13 06:54:19
0
modyoops
Oops :
hiyo bandari imekosewa kuwa namna hivyo iko wazi sana
2026-08-13 04:07:40
0
msigwa255
Msigwa255🇹🇿 :
mangapwani et
2026-08-12 19:53:18
0
bindawood.02
faba bin dawood :
maendeleo kwanza
2026-08-12 20:34:04
1
r.lole
. :
Doctor Mwinyi tunakukubali lkn mbona Pemba umeisahau na hasa wilaya ya Wete ndio imekufaa kabisa imebakia kuzikwa Tuu😭🥺
2026-08-13 06:58:01
0
bei.nafuu.kitonga
Bei nafuu (kitonga) :
saut inaskika vibaya san
2026-08-13 05:51:03
0
msakmema
Msaka Mema :
ज़ान्ज़ीबार के नागरिक इस बात से ही संतुष्ट हैं कि वहां भुखमरी बहुत गंभीर है और भोजन के लिए पैसे जुटाना मुश्किल है। 🥺🥹🥺
2026-08-13 03:21:15
0
nawaal_al_balushi
Nawaal al Balushi :
Masha'ALLAH 😍
2026-08-13 05:44:40
0
mejamiela
mejamiela :
kaz nzuri
2026-08-12 18:03:16
2
soulboy75
blackboy :
Yaani vichogo wakiachia muungano2 ndo cku hawatatuona na kutukamata tena na watabaki kuitamani2 zanzibar
2026-08-12 21:32:19
1
To see more videos from user @djsma255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About