@oscar_mkatoliki: PART 01: Je wakatoliki wanaabudu Mungu Jua? Kama unatamani kuwa sehemu ya utume huu wa uinjilishaji kwa lugha ya Kiswahili, unaweza kuniunga mkono kupitia: M-Pesa: +255 750 327 323 Jina: OSCALIUS ELMES NIHONGATAILE #OscarMkatoliki #KanisaKatoliki #TafakariYaLeo #InjiliYaLeo #NenoLaMungu #ImaniKatoliki #CatholicTok #MisaYaLeo #Oscar_Mkatoliki #fyp #kanisakatoliki #TumsifuYesuKristo

Oscar Mkatoliki.
Oscar Mkatoliki.
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 14:07:35 GMT
43984
3823
295
213

Music

Download

Comments

mwana_catholic
@mwana_mcatholic :
CATHOLIC FOREVER 🥰🥰
2026-09-04 13:09:19
0
user88388581103816
mam :
ANAJUA NGUVU YA YESU WA EKARISTI,????
2026-08-12 15:14:27
70
nick_02mwendwa
Nick_02Mwendwa :
Born in Catholic Raised in Catholic Baptized in Catholic and Die in Catholic❤💪
2026-08-13 21:50:52
7
alexshalt
[email protected] :
atajua mwenyewe me siwezi kutoka RC hata kwa dawa
2026-08-12 15:27:06
40
annanitah254
Ann@anitah❤️💋🌿 :
🥰🥰🥰 Catholic for ever
2026-08-12 19:26:04
9
wandwi7
Wandwi :
samahan nini maan ya neno ekarist maana maana mafungu yote uliyosema yanasema mkate na sio ekarist
2026-08-12 14:52:43
4
alia.kl70
alia kl🪮✂️ :
Nita Linda Amani yangu katika dini catholika
2026-08-12 20:28:44
12
jbosco11t
jbosco11 :
tumsifu yesu kristo
2026-08-12 18:37:22
16
brian.sospeter
Brian sospeter :
TUMSIFU YESU KRISTU WATU WA MUNGU 🙏🙏🙏
2026-09-04 21:01:33
1
mkatolikimani2
mkatolik imani ⛪️⛪️⛪️🎶🎶 :
mbn anatumia nguvu san kunielewesha wakati mim hata simuelewi kaka
2026-08-12 14:16:05
38
mark31729
Mark :
john6:51-mimi ndiye mkate ulioshuka kutoka mbinguni.O sacrament most holy O sacrament devine all praises and all thanksgiving be every moment thine🙏
2026-08-12 19:51:16
5
juliusmmbaga82
Julius Mmbaga :
kanisa katoliki Lina mafumbo makubwa ambayo madhehebu mengine sio rahisi kuelewa
2026-08-13 09:38:45
4
user749230304553786
idrisa nikiyi :
ndo maana mm nikaacha ukiristo
2026-08-12 21:34:38
5
merckgb
Migoli :
Huyo kaka anaongeaga kama anahisi anamfaham Mwenyez Mungu sana kuliko watu wengine
2026-08-13 14:31:24
5
imeldankagua
Imelda Nkagua :
hata wasemeje Mimi ni dam ya ekaristi
2026-09-02 08:11:43
1
deofredrick596
Deo Fredrick :
msijaji msiyoyajua jaman kabla ya kujaji ulizeni kwanza ila hongera sana kaka kwa kumuelewesha
2026-08-12 15:49:13
6
kitengekizuri
lillykitenge😍 :
Amina kaka🙏🙏🙏
2026-08-13 06:31:29
0
wandwi7
Wandwi :
i was RC but nilipoanza kusoma historia ya dini na dunia nilijiuliza mengi had nikaacha
2026-08-12 14:57:31
0
wandwi7
Wandwi :
then kuhusu kazi ya sanaa ni sisi wachin ndio tunaona na kuambiwa kua ni kazi ya sanaa lakin yawezekan kiundan ni kivuli tu ila wale wakubwa ndio wanajua ukweli nn kinaabudiwa maana kanisa lina kila sababu ya kujiuliza mbona ibada nyingi karibu asilimia 70 zinafanana na ibada za kirumi za zamani je huu sio kwamba ni upagani ule wa kirumi ya zamani ulipenyezwa kwa hila katika ukristo
2026-08-12 14:56:13
1
mathiasmanga215
CALVIN :
Mkiwa hamjui kitu kuhus katoliki ni vyema mkatuuliza wahy iki kipo hiv sio kuzungumza kwa hisia tu.
2026-08-12 21:53:38
3
user2928311534553
smile :
hakuna kwenye bible kuhusu mambo ya wakatoliki
2026-08-12 19:03:31
2
mamabrian121
Gladness🤍 :
I'm Proud to be CATHOLIC 🤗
2026-08-20 10:26:12
3
mwami.kabamba.bie
Mwami👑bienfit jules🇨🇩🇷🇼💖 :
YESU kristo ndiye njia kweli na uzima wanaye mkubali yesu tu like apa mimi number moja ☝️
2026-08-14 05:15:46
3
phabianalex4
church "bOy" :
hakijui anachokisema Catholic forever mungu tutie nguvu aminah
2026-08-15 07:05:59
1
user94609181378011
from your contact :
kanisa nimoja takatifu katoliki lamtume nalakimisionar
2026-08-14 10:34:13
3
To see more videos from user @oscar_mkatoliki, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

รีวิวความอร่อยริมน้ำปิง
รีวิวความอร่อยริมน้ำปิง "มีอันจะกิน" เชียงใหม่ ฝนตกฉ่ำๆ แต่อาหารอร่อยฟินมาก! 🌧️ 🍽️✨ . วันว่างๆ พามาเช็กอินกินเที่ยวริมน้ำปิงที่ร้าน "มีอันจะกิน (Mee An Ja Kin Cafe & Restaurant)" เชียงใหม่ ค่ะ วันที่ไปฝนตกพอดี แอบชุ่มฉ่ำเบาๆ เราเลยเลือกนั่งโซน Indoor ข้างในร้าน ตกแต่งคลาสสิก อบอุ่น แอร์เย็นสบาย ได้ฟีลไปอีกแบบ 🌧️ สั่งเครื่องดื่มมัทฉะมะพร้าวสดชื่นมาก ส่วนอาหารบอกเลยว่าอร่อยถูกใจ เมนูเด็ดที่อยากให้ลองคือ ลาบแซลมอนปานีปูรี วิธีกินคือเคาะแป้งให้เป็นรู ตักลาบแซลมอนอัดเข้าไปแล้วหม่ำทั้งคำ เปรี้ยว หวาน เผ็ด กรอบ ครบรสสุด! ต่อด้วย ปลากะพงนึ่งมะนาว รสแซ่บ, กุ้งทอดซอสมะขาม ตัวโตซอสฉ่ำ และ กะหล่ำปลีน้ำปลา ทานกับข้าวสวยร้อนๆ คือฟินนน 🥰 ตบท้ายด้วยของหวานโชว์ฝีมืออย่าง ข้าวเหนียวมะม่วง จัดจานรูปดอกไม้สวยจนไม่กล้าทาน ราดกะทิเยิ้มๆ หวานมันลงตัว ใครมาเชียงใหม่ห้ามพลาดร้านนี้เลยนะคะ! 📍 พิกัด: ร้านมีอันจะกิน (ถนนป่าแดด ติดริมแม่น้ำปิง อ.เมือง เชียงใหม่) ⏰ เวลาเปิด-ปิด: 10:00 - 24:00 น. #รีวิวร้านอาหารเชียงใหม่ #ร้านอาหารเชียงใหม่ #ร้านอาหารดังเชียงใหม่ #มีอันจะกิน #meeanjakin

About