@jukwaa.la.maarifa: Baadhi ya Wanawake Wa sasa Waliopo Katika Ndoa Wamekua Na Tabia za Kutowapa Tendo la Ndoa Waume Zao Tabia hizi Zimekua Ni Endelevu Kwa Baadhi ya Wanawake Sababu ya Kujiendekeza kwa Hizo Tabia Hii ni Miongoni Mwa Tabia Ambazo Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Anawakumbusha Baadhi ya Wanandoa Kutambua Wajibu Wao Wa Msingi Kutokana Na Kila Mmoja Kueleza Majukumu Yao Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Anawakumbusha Si Vyema Kama Mke Kutompatia MUMEO Tendo la Ndoa Endapo Mke Unakua Auna Sababu za Msingi Kwa Uwo Wakati Pia si Vyema Kwa Mume Kummbaka Mkeo Ata Kama Amekunyima Tendo La Ndoa Mkeo Kwa Wakati Huo