m ukimuuliza anakuambia Acha kujitesa mama we n wangu 🥰😅😅
2026-08-13 15:00:39
3
depaul art tz :
mmoja a like nataka kuludi tena hapa
2026-08-14 16:01:22
1
ester_bosslady25 :
Hlo la 4 n muhim san wapendwa ila jiandae kwa lolote 😓🙌
2026-08-12 20:31:16
4
markosengerema :
fact
2026-08-13 08:06:03
1
memo shila :
wangu nilimuuliza mume wangu miaka simeenda na atujafanya kitu yeyote kwa hii familia yetu .akajibu ana mambo mengi ya kufanya ningoje kwanza
2026-08-13 11:26:26
1
Zera Mussa :
ntarudi kukopi maswali maana haya download
2026-08-13 07:47:44
1
marianne🤎 :
Hii ni kweli
2026-08-12 18:22:49
1
RAH££N D£ QUTI£ 🦋 :
Uo mdq niombee niupate 😂😂
2026-08-13 16:04:47
2
gidychibagho6 :
Nimeambiwa kama angeanza maisha upya asingetamani kukutana na mm😭😭😭
2026-08-13 05:45:59
2
Leanah :
Namba 2,namba 2😭natafutwa na nina solve kwa wakat kabisaaaa,lkn ngja ifike zam yng sasa uwiiiii😏
2026-08-13 07:16:50
1
MIKAH ICON 💥⚓️ :
Sina ata wa kumuuliza daah si ajitokeze
2026-08-13 17:56:08
2
Lov£ l!nn@#🥰🥰🥰 :
mi nakuuliza kabisa mahusian yako yatachukua muda gan,
2026-08-13 06:35:39
1
NAPUNDA OG :
yaan mm nimuulize mtoto wa mtu hayo maswali huo muda bora nitazame marudia ya simba na yanga
2026-08-14 19:06:13
1
Winneriah_25 :
Nitamuuliza Kama tutarudiana now nafocus na pesa
2026-08-13 15:41:19
1
Jabeel :
SAFI
2026-08-13 00:47:11
2
it's zaki 💖 :
uwii mie nimuulize ata sem ongea vitu vya msingi unafani gani kuhus kaz unauwez upi uzoefu sa kaz unaendekeza mapenz san mim nishavuka uko mie ni mtu mzima 🥺 kwahy ach tuu ndugu yangu 😂
2026-08-14 23:03:53
0
DEREVA BAJAJI 🛺📞 :
Namba 2 ,Huwa Anafanya hivyo 🥰
2026-08-13 10:33:19
1
Ruth samwel :
Je kama akinidanganya ili niridhike inakuaje??
2026-08-13 08:13:33
1
Hassani :
BWANA ATAJUA YEYE ELA NGUMU 😁
2026-08-13 08:18:08
1
Brown Gal🤎✨ :
swali la sabaaa unataka tuu nijibiwe vbaya kisha nizire sindy😂😂
2026-08-14 09:27:06
0
janethjoseph :
🥰
2026-08-13 10:26:49
1
@naah-253 :
🥰🥰🥰
2026-08-12 23:55:21
1
To see more videos from user @mrfalsafa, please go to the Tikwm
homepage.