@dskileo: Kweye business ya madini kuna njia nyingi za kutengeneza pesa sio lazima kuchimba 👇🏻 1: Unaweza kujikita kusupply materials kama Baruti, Chemicals, Safety products, machines etc, hizi una agiza kutoka China, India n.k, Profit yake sio ya kawaida 🫵🏻 halafu sio lazima uanze na mtaji mkubwa (kila kitu nitaelezea kwenye group la 1Billion) 2: Unaweza kujikita katika kununua Mawe kutoka kwa wachimbaji, unapeleka processing unadaka dhahabu unasepa, Hapa unahitaji elimu kidogo uelewe ingawa ni process ya kawaida tu na fupi (Nitaelezea kila kitu kwenye group la 1 Billion) 3: Unaweza amua kutengeneza Center(Mwalo) sehemu ya kufanyia kuchakara mawe, hapa unakuwa na machines (sio gharama kivile) then wachimbaji wanakuwa wanaleta kwako mawe ili uwafanyie processing (Hapa kuna faida kubwa unaipata - Utapata udongo ambao unakuwa na dhahabu kuanzia 75% (Nitaelezea kwenye 1 Billion Group) 4: Unaweza kuamua kuwekeza kwenye kununua na kuuza madini, mfano rate ya 1gram ya Gold leo ni 380k + ila juzi kati hapo ilikuwa 350k, pia huwa inapanda hadi 400k, sasa ukinunua dhahabu leo unaweza subiri muda kidogo hata Weeks tu ikipanda unauza, au unaweza nunu kwa rate ya laki 3 ukasubiri uuze hadi ifike 400k, Faida ipo hapo (Maelezo zaidi kwenye group la 1 Billion) 5: Unaweza jikita katika kutengeneza Plants za kuchakata ud………. Au basi acha niishie hapa 😂 JESUS IS KING

brandingdanny
brandingdanny
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 14:44:37 GMT
35378
3780
105
69

Music

Download

Comments

btw_itc_naa
Naa 🦋❤ :
Huku pesa ipo jmn ✅
2026-10-05 14:11:53
2
frozenflowersforever
MAGIBO :
Group la 1 billion ni group la what’s up au kama lipo popote nalipata vipi mkuu
2026-08-24 17:56:34
3
lulublackbeaut1
Luluhaule1 :
Hizo material kama baruti na chemical hazipatikani sehem nyingine tofauti na nchi za nnjeee Yani hapa nchinii
2026-08-12 14:55:49
2
happyaidan7
Happy Aidan :
woow
2026-08-12 14:51:27
2
user1561168102257
chaupole🥰🥰 :
Lakn leo nimekuota walai
2026-08-12 15:25:49
1
carino_tz
Aisha❤️💍🔐 :
When I see you I'm feel happy
2026-08-12 14:57:31
1
collincedeus
Mr_collince💯 :
KAKA MM NIPO GEITA NAOMBA MEMBER BUSINESS KAKA🙏🙏
2026-09-28 14:17:18
2
mim66972
mim :
wow
2026-09-25 04:25:36
0
moanaspike
Evelyne🦋 :
So how to join hio one billion group sir
2026-09-25 11:46:57
0
viviannepoul
vivianne :
Naomba maelekezo kaka au niunge kwenye ilo group 1 billion
2026-08-26 05:13:24
2
missmeoutfit26
Miss me outfit👗 :
Naomba maelekezo ya kuingia kwenye group la billion
2026-08-13 09:38:38
2
mkomela24
mkomela26 :
one day,, inshallah
2026-08-12 14:50:32
0
chike_tz611
ᴄʜɪᴋᴇ 🦅 :
appreciate
2026-08-12 14:48:55
0
qttinaa7
qt-tinaa😍 :
Nachokupendea kaka yangu hujivungi unakula popote salute sanaaa 🫡
2026-08-21 15:03:49
1
glory70602
Glory to God 🙏 :
namimi nalitaka Hilo grp 1B
2026-09-09 02:57:19
1
kibichwa002
unknown :
group ya 1B tunajiungaje
2026-08-13 04:01:31
1
jasmine_courteous
Jasmine_courteous🥰🥰🥰 :
kujiunga kwenye group bei gan??
2026-09-26 19:18:09
0
user2632430890952
Winnie 🌼 :
Post Nyingine tu maan sitoki kwa hii page 😁
2026-09-26 08:53:04
0
jaytz259
Jay tz# :
kaka🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-18 13:07:11
0
clif_culture
clifculture 2 👔 :
one of my favorite part is bible section and prayer section bro
2026-09-17 03:48:13
0
prences847
princess one :
amin
2026-10-05 16:39:32
0
leeninejoseph
leenine Joseph(always happy) :
mbona sioni wadada kwa hii mission
2026-08-20 15:18:14
1
user7460677597076
judy :
Good firsts for everything 👏👏👏👏🙏
2026-08-12 18:30:16
0
getrudefabian48
Getrude :
huyu kaka anampenda sana mungu huwa napenda sana mwanaume mcha mungu
2026-09-20 18:08:44
0
mr.transporter682
Mr transporter :
Kwa heshima bro unatupa funzo vijana
2026-08-12 15:03:33
0
To see more videos from user @dskileo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About