wameanza kua na akil.i Mh.raisi samia h.suluhu shikilia hapohapo watakuelewa tu
2026-08-13 05:02:02
4
Eng: Brian Emmanuel 🇹🇿 :
don't forget the mission is to get rich before 30
2026-08-13 05:25:31
1
Cpt Komba Jr :
uchambuzi mzuri bro
2026-08-14 03:35:31
1
josephat :
lema ameongea point kubwa sana mzee ameongea point sana leo
2026-08-12 22:06:02
2
Dr. DK :
Wazee matusi mbona siwaoni
2026-08-13 03:52:03
1
farmer OG :
Hekima kubwa sana kupata kusikia kutoka kwao! Bravoo bro
2026-08-12 15:30:36
1
noelpetroshaur :
kweli kaka
2026-08-12 21:12:37
0
NDECKILAND :
Wazee wa Matusi 😂😂😂
2026-08-13 06:01:30
0
GM :
kwani umejua wanaotukana wanatoka upande gani? au kila mtu anayekosoa serikali ni chadema?
2026-08-13 08:20:09
0
Mr rich :
Viongozi wa Chadema nao Wengi kwenye Pesa sio Waadilifu lakini pia ni Wabinafsi yeye Lema kilichomfanya Awahamishie Familia yake Ulaya na Kuwaacha Watanzania nyuma hiyo ni Dalili tosha ya Udhaifu wa Kiongozi
2026-08-13 12:55:12
0
WEKA2WEKE :
siasa ni hoja asee watu kutekana tekana ni mambo ya kishamba matusi sio utamaduni wa mtanzania pia nawewe uwaambie hao MUNGU watu kua sisi site ni WA MUNGU waache kutuumiza
2026-08-13 07:53:12
0
Kala Mzuluvendi :
Kwa hyo matusi yabaki ccm na kukosolewa ccm msikoselewe kwa sababu watatekwa
2026-08-14 19:14:17
0
Suleiman from N.W.A :
butiku anapelekewa moto🔥 balaa leo
2026-08-12 17:42:15
0
@ :
sijamuina kiogozi yeyote asie kubali kukosolewa
2026-08-13 06:30:59
0
SIBU NDEMBE :
wana fukuzwa kwa sababu wana tumwa na wanajua wana sema uwongo
2026-08-13 05:37:13
0
🇹🇿 :
Kamaanisha ivyo lakin siyo kwa mfano huo ulotumia wa ‘tonetone’, binafsi nakuona siyo muungwana wa CHADEMA au join the movement kijana
2026-08-13 05:25:17
0
WEKA2WEKE :
na viongozi wa ccm ndio wamungu wao wakikosolewa mnawafanyeje😁😁😁😁😁
2026-08-13 07:51:28
0
user2253408752009 :
REMA KAONGEA JAMBO MUHIMU SANA
UKWELI NIKUA UKIWA NAMAMBO YAHOVYO UKAWA NDIOUTAMADUNI WENU MKISHIKA DOLA BADO MTAKUA WA HOVYO
2026-08-12 21:20:44
0
Sakaya Lobebeki :
🥰🥰🥰
2026-08-13 04:27:53
0
Jundo :
😁😁😁
2026-08-13 12:25:54
0
To see more videos from user @zungukakereog, please go to the Tikwm
homepage.