mm ndio mana namuomba Mungu asinipe moyo wa kupenda waganga
2026-08-14 03:49:06
39
Jay warhymes255 :
Umeua shekhe mpira unao baba
2026-08-13 07:54:30
15
faatmazaharaa :
“Usijiaminishe kwamba wewe ni wa motoni. Dhambi yako inaweza kuwa kubwa, lakini rehema ya Allah ni kubwa zaidi. Kama moyo wako bado unajuta, hiyo ni nafasi ya kumrudia Allah. Tubia kwa dhati, acha dhambi, rekebisha yale unayoweza kurekebisha, na usikate tamaa na rehema Yake. Allah ndiye anayejua mwisho wa kila mtu.”
2026-08-15 15:15:20
15
baisy :
yote kwa yte jmaa hpa kwenye kusema yye niwamotoni dah allah afanyie wepesi kwenye moyo wake inshaallah
2026-08-14 00:18:05
16
My❤️ Queen 🧕🌺🔐 :
dunia simama nishuke😳😳meme
2026-08-13 05:09:53
6
aisha :
namba jamani naomba
2026-08-13 18:17:29
3
YOUNG PASTOR :
Bado kuna neema ya MUNGU, INAWEZA KUKUOKOA
2026-08-13 04:22:18
17
Khadija Hasan :
Dunia simama nishuke uwiiii
2026-08-13 10:03:43
3
chiddy :
usikate tamaa na rehma za ALLAH mzee mwenyezi MUNGU ni mwingi wa REHEMA omba Toba na ALLAH mwingi wa kusamehe
2026-08-13 17:46:26
11
lovhat :
usikate tamaa na rehma ya Allah
2026-08-13 11:55:54
6
Seifreind A'wakil :
Doh 🥹🥹🥹🥹
2026-08-13 09:06:52
3
MOhamedi ngemba :
Allah akupe shufa zaidi na ssi mwisho mwema inshallah usjiukumu shee Allah atupe shufa zaidi mwisho mwema inshallah
2026-08-14 03:24:59
10
SHEDRACK 🇹🇿 :
2026-08-15 05:06:55
2
asensio_vitambaa :
huyu namtaka 😂😂😂
2026-08-13 11:16:23
0
n'galiso :
innalilah wainna illaih rajuun
2026-08-14 13:42:32
1
Loved, blessed and favored :
RUDI KWA YESU! Yeye ana HURUMA! ANASAMEHE! ATAKUPA MWANZO MPYA!