unapozungumzia comedian tanzania hakika hii ndo ilikuwa comedian
mlijua kutupa raha jamani
yaani woootee mlikuwa mnajua nini mnafanya
mlijua kuvaa uhusika hakika
Tunaomba mrudi jamani
hakuna aliyeweza kuvunja hii recoding yenu mpaka sasa hivi
Asha ngedere ndo ulibeba kundi hili kwa hicho kipengele cha ASHA NGEDERE😂