@oneminutewithsheikhjamal: As-Sabru alal-Ibtilā’ 🤲🏽 Maisha yana mitihani lakini usisahau kuwa Allah hakupi mtihani bila sababu💯Shikamana na subra, endelea na dua, na umtegemee Allah Kila jambo lina mwisho, na kwa subira huja faraja🤍 #viralvideo #muslimtiktok #fyp #trendingvideo #tawakul