@ziruni: Text me kujiunza editing from Scratch, Text me pia for UGC contents

ZiruniTz
ZiruniTz
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 12 August 2026 15:43:15 GMT
149056
6915
99
473

Music

Download

Comments

wardahassan2002
hayla ❤ :
Mie caption imeandika kikuyu 😂😂😂😂imeganda hapo hapo 😂😂😂
2026-08-12 19:32:28
8
babyrose801
AFYA YA FAMILIA- LISHE :
mm Kila videos inasema no sound recognized
2026-08-14 03:32:37
2
talkwithfaith254
Talk with Faith :
santi sana yangu imework 🥰🥰
2026-08-13 12:26:53
4
jojo_virutubisho
Dada virutubisho :
M Kiswahili akipo nafanyaje
2026-08-20 14:40:44
1
aimaboy44
boy👨 aimable 💔 :
kwenye simu yangu sione mimi swahili nje ni fanya je
2026-08-14 08:31:50
8
diplomatfasasi
Diplomat Fasasi :
Nisaidie nimejaribu kutafuta rugha ya Kihaya nimeikosa dada.
2026-08-15 10:35:09
2
winifridarafael65
Winifrida Rafael :
me love you
2026-08-12 19:12:57
4
user6161105698118
Aisha :
nakuomba unifundishe unafanya vite ndo alafu badae inakuja voice
2026-08-13 21:54:53
3
dj.robah.2548
DJ ROBAH 254 :
na Cupcat kama unatap effect inaleta hivi “Too many people are using this feature" nitafanyaje
2026-08-12 21:05:55
1
user5723758016106nico
him gote :
naseve kwa faida ya watoto wangu badaye
2026-08-13 18:06:53
2
amosmathayo329
Mr. A(Mwanza boy)🤑🤑🤑🤑 :
dada unajua hatar
2026-08-12 15:47:34
2
_neemajames
Miss Tech 🇹🇿 :
Unajua banaaaa🥰🔥
2026-08-12 17:02:00
1
judith.mbesere
Judith Mbesere :
unaelekeza vizur ila unachoelekeza kinaenda haraka haraka me hata sielew
2026-08-12 18:50:14
1
zee.business7
zee business ✈️ :
Sijui ndo nmeshindwa kuelewa or not
2026-08-13 12:32:31
0
saleem.kamlambo
𝐒𝐚𝐥𝐞𝐞𝐦 𝐊𝐚𝐦𝐥𝐚𝐦𝐛𝐨 :
tuletee toturial ya Kuruka Juu Yan Unaonekan kama unatoka Juu Kwa kustukiza fulan hv
2026-08-16 17:56:25
0
world2556
World🌎 :
Tupe somo
2026-08-12 17:25:10
1
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-08-15 09:39:16
3
majestykingmk
Majesty design studio :
crush wangu nakupenda jamn🥰
2026-08-12 16:33:54
1
elisha_majata
MAJATA☑️ :
video aitoki
2026-08-19 19:52:14
0
makanzu8968
makanzu :
mpya naomba kujifunza
2026-08-21 18:13:43
0
davidaslara
davidas lara🔹 :
sione swahili
2026-08-20 13:17:01
0
berthcollection
Berthacollection :
Sawa
2026-08-18 09:44:02
2
pilipili.hoho4
Pilipili Hoho :
mimi naomba unifundishe namna ya kutuma picha moja tu na kisha uiweke sound yako yani isiwe video
2026-08-20 11:49:29
0
letsdobusiness49
Majeed🌎 :
2026-08-12 15:56:42
1
To see more videos from user @ziruni, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About