@mtoto_wa_maria: Wakati mwingine unajikuta unapitia magumu na kuona kama hakuna anayekujali, lakini ukumbuke tu kwamba kila jeraha linalokuumiza, lina kusudi lake, na kila chozi unalolia, lina mwisho wake. Hivyo uichoke kuvumilia, pambana na umuombe Mungu, maana ipo siku itakuwa historia! 🙏 #furahatemba #catholicsong #viralvideo #tanzaniatrending #fyp
Furaha Temba
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 16:07:20 GMT
Music
Download
Comments
Vicent Deogratius :
tumsifu yesu kristo
2026-08-13 05:33:05
77
B@b! 3l!z@..❣️ :
Mapendo
2026-08-13 16:26:20
24
Mtoto wa winga😇 :
jamn niombeeni nipate mtoto 😭😭..MUNGU unihurumie😞😓🙏
2026-08-16 18:59:30
9
tee🌼 :
Ee Mungu wa Rehema na Baraka ...naamini huu mwaka ni wa baraka na neema kwangu na familia yangu 🙏
2026-08-13 19:15:16
15
miss 🌹 rose💐 :
eeh mungu naomba unirinde kwa kira hatua nitakayokanyag na umlinde na huyu atakaye soma hii coment mfungulie milango ya mafanikio. AMEN
2026-08-13 18:36:53
20
user1966929530242 :
ee bwana nisaidie navumilia 2 yatapita
2026-08-13 19:59:55
7
Mrsdickson🍎 :
amina😥
2026-08-12 16:32:30
10
Suzana Victori :
milele
2026-08-13 20:36:36
1
cadette1 :
Amen
2026-08-13 09:41:15
0
Lucy Kessy :
Hadi nywele zimesisimka 😘
2026-08-13 19:48:49
1
Rianca :
Ameni
2026-08-13 07:20:48
0
Ana mery :
Ubarikiwe sana
2026-08-13 17:10:33
0
Mariam Mari :
Amina
2026-08-12 18:56:12
0
bridgit bright :
Amen🙏🏾🙏🏾
2026-08-13 04:46:57
0
JosephineRweza :
Amina
2026-08-12 18:57:14
0
0977990712 :
Amen
2026-08-13 06:22:03
0
kenedy domisianj :
amina🙏
2026-08-13 03:51:23
0
Nk❤️❤️ :
amen amen
2026-08-13 04:27:29
0
mam bty :
Amina 🙏
2026-08-13 03:59:38
2
LilianMining :
be blessed for this👍
2026-08-13 19:22:26
1
user6148720393390 :
Amina Amina Amina tumsifu bwana yesu christu Amina Amina
2026-08-14 04:05:23
1
be :
amen
2026-08-13 05:18:45
0
Lenlen 💞💞❣️ :
naomben nisaidien jina la nyimbo
2026-08-16 10:07:05
0
Hellen Maiko :
tumsifu yesu krito
2026-08-14 05:24:41
3
Berry :
Eeh bwana nisaidie na unihurumie🙏🙏🙏
2026-08-13 17:28:39
4
To see more videos from user @mtoto_wa_maria, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.