@hubofwisdom.inc: "Wakati unatafuta hiki, hiki kinaangamia. Hakuna kitu chenye faida tu." Anasema Mwl. Cosmas akiwashauri vijana wa kike na wa kiume juu ya namna ya kustawi katika kimaisha katika nyanja za mahusiano na tabia "Ishi tofauti na uwe mtu wa tofauti. Acha kuhangaika kusihi maisha kama watu wengine. Unataka kuachieve vitu tofauti? Zungumza tofauti, vaa tofauti." Una maoni gani kuhusu hili? Fuatilia Hub of Wisdom kwa njia ya YouTube kwa matoleo zaidi yenye maudhui ya maendeleo binafsi, uongozi, falsafa ya maisha na mafanikio Tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media ........................................................ Session Credits: East Africa Radio #CosmasMadulu #MwlCosmasMadulu #Maisha #KusudiLaMaisha #Ustawi #MaendeleoBinafsi #HWTv #HubOfWisdom #LifeSkills #Success #Leadership #MaendeleoBinafsi #FalsafaYaMaisha #HWMedia #HubOfWisdom #TheWiseTZ #Inspiration #Swahili #Tanzania