@stevetobsmedia: Mwanangu, shika maagizo ya baba yako, wala usisahau mafundisho ya mama yako; yaweke daima moyoni mwako, yafunge shingoni mwako. Yatakuongoza njiani mwako, yatakulinda wakati ulalapo, yatakushauri uwapo macho mchana. Maana amri hiyo ni taa, na sheria hiyo ni mwanga. Maonyo hayo na nidhamu yatuweka njiani mwa uhai. Yatakulinda mbali na mwanamke mbaya, yatakuepusha na maneno matamu ya mwanamke mgeni. Kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Methali 6:20-24 #mungukwanza #ChristinaShusho #DreamersCenter #NenoLaMungu #Huduma #Injili #yeshua #jesus #jesuslovesyou #passover2025 #easther #jesusisking #masia #samsasali #ibada #women #ccm #chadematz #act #pricillashirer #girlfriends #boyfriends #womenempowerment #womenentrepreneur #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #kenyatiktokers #tanzania🇹🇿 #daressalaam #kariakoo #dodoma #mbeya #arusha #mwanza #kenyan #nairobi #kampala #kigali #rwanda #bunjumbula #goma #congo #congolese #uganda #africanart #girlfriends #boyfriends #womenempowerment #womenentrepreneur #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #kenyatiktokers #kenyatiktok #daressalaam #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪nairobi #tiktokkenya🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #christianfashion #Buckethead #nairobitiktokers #ambwenemwasongwe #africa #gladnessmwanga #farajacute #5star #women #samsasali #ibada #zingatiaibada #farajacute #gladnessmwanga #kerinelife#tiktokkenya🇰🇪 ###tanzaniantiktok🇹🇿 ##Buckethead #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #daressalaam
Steve Tobs Media
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 16:21:03 GMT
Music
Download
Comments
its me :
Nimegundua hii video inamaana kubwa sana kwa Dada zetu wajifunze kitu
2026-08-13 19:08:20
1
mega house design94 :
bonge la fact
2026-08-15 11:52:07
1
edwardstrans :
😂😂😂 good plan
2026-08-12 19:52:29
0
To see more videos from user @stevetobsmedia, please go to the Tikwm
homepage.