@seth.jacob88: Wakulima wakubwa wa NYANYA hupunguza hasara na msongo wa mawazo kwa kuhakikisha nyanya zao zina shelf life nzuri baada ya kuvuna. 🍅 Katika video hii nimezungumzia mbinu 6 za kuzifanya nyanya zidumu kwa muda mrefu bila kuharibika haraka. 🔥 Mbinu ya SITA ni muhimu zaidi—usikose kuifikia mwisho wa video! Usivune tu nyanya; jifunze pia jinsi ya kuzilinda baada ya kuvuna. Hapo ndipo unapopunguza upotevu na kuongeza faida. 💰🍅 #Nyanya #ShelfLife #KilimoNiBiashara #creatorsearchinsights #contentcreationinsights