mazinge anafanya kazi kubwa na pesa anazo za kutosha
2026-08-12 18:55:43
13
shollah :
allah azidi kumpa afya njema shekh wetu wallahi 🤲🏻🤲🏻
2026-08-12 20:11:54
12
idrice :
2026-08-13 05:58:49
1
cute lips 👄🌹 :
sasa shekh Mazinge mbona unatudharau😂🤣
2026-08-12 20:08:43
1
TINKER MDEMU :
tatizo lako mjomba mkweli
2026-08-13 03:35:36
2
Oman Oman :
mimi nikisikiaga kuna mchungaji anakuja kwaajili ya midahalo sijui kutoka nchi gan anakuja Tz basi mim chakwanza naanza kupepesa macho kumtafuta Sheikh Mazinge yupo nitapepesa macho weeeee nikimuona tu bas nsjua waislam tunashinda bas mi moyo wangu tuliii burudani kabisa shaka sina huyu Sheikh Mazinge waislam tuzidi kumuombea du'aa Allah azidi kumueka amuepushe na shar huy Sheikh Mazinge kapambana na mitihan mizito kuajili ya dini yetu na Allah kampambania sana kanusirika kwenye mitihani hiyo kwanza stor ya pale Mwembe chai sinto isahau
2026-08-13 02:28:58
3
Faizah :
mimi pia nakusikiliza kila siku.mungu akupe umri mrefu sheikh wetu.from kenya
2026-08-12 19:42:41
3
munawarjuma43 :
Nakupend kw ajili ya Allah 🥰🥰🥰
2026-08-12 19:47:08
2
Ally Kapakasi :
kweli natamani bitume Dola 10 ilasina namba
2026-08-13 05:48:48
1
Mãújùzzz music MEDIA🎤🚬🎻 :
@HT: Yanga 1-0 Simba
⚽️' Kangwanda
2026-08-12 18:40:13
2
amili12345 :
mashallah kwa ukumbusho
2026-08-12 18:50:37
2
Faiza Abdallah :
Alhamdullilah
2026-08-13 05:11:39
1
YusufAli :
kweli kabisa 💯 Tuko hapa watu wako 💪💪
2026-08-12 18:39:17
2
Salmin Swagi :
mungu akujaalie uzidi kuutangaza uislam na akulinde namahasidi wote
2026-08-12 20:27:02
1
Mwajabu Mustapha :
Shehe wangu pendwa wa kila sku 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-13 06:51:37
0
The barber brand saloon :
baba angu
2026-08-12 20:38:56
1
mercy :
Subuhanallah
2026-08-12 18:34:15
1
Seleman Salim :
Alhamdulilah
2026-08-12 22:36:12
0
bakariibrahimu915 :
shehe mungu akupe maisha marefu sana onshalaa
2026-08-13 06:40:53
0
Karim Store :
😂fact
2026-08-13 07:10:56
0
abutwaimkomi@ :
Maxhaallah
2026-08-13 08:11:17
0
che guevara :
mi wa kwanza buku langu unapata naomba weka namba tutume.🤣🤣
2026-08-12 21:49:00
2
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm
homepage.