Hiv nifanyeje tiktok nisiwe napata ushauri wa hawa madaktari wa mchongo wa tik tok
2026-08-23 16:39:10
0
Aisha Abdull :
Asa hapo tule nn wajemeni
2026-08-13 05:13:36
3
Des :
Hivi viwango vya sukari unawaambia kwa wenye kisukari au hata wale wasio na kisukari. Unapokula sukari ni nishati kwa mtu ye yote ili afanye kazi. Hebu mnapotoa elimu muwe specific unawalenga watu gani?? Mwingine huhitaji nguvu ili afanye kazi za nguvu, kwa hiyo lazima atumie vyakula vyevye nguvu.
2026-08-14 05:11:39
0
zubedamsuya137 :
mkate kaa gani au hata kipande kimoja?
2026-08-13 09:34:51
2
sambason :
wizara ya Afya iweke utaratibu wa hizi elimu za mitandaoni mana watu wanajazwa hofu tu asa kma hapo toa mbadala watu wale nini yaan ni kero mnoo
2026-08-14 03:08:11
1
jacky :
tukule nni
2026-08-14 10:58:47
0
gloriousfortunata :
kweli kabisa
2026-09-03 10:46:05
0
Maembe Auto Service Kigamboni :
Mkate kiasi gani? Gram ngap?
2026-08-13 19:03:58
0
lenumbe :
Kwaiyo
2026-08-13 08:40:48
1
The anointed one :
@The anointed one:inategemea na kipi kinapitia mchakato rahisi ndo inaongeza sukari kwa haraka huwezi niambia sukari ya kawaida ikazidiwa na mkate.
2026-08-14 06:00:32
0
mileillemaiko :
ahsante mwanya
2026-08-14 20:04:29
0
user76788163509874 :
Ninavoupenda sukari guru jmn sijui itakuwaje
2026-08-23 01:19:48
0
danielbuma256🇺🇬🇰🇪 :
sasa tule nini
2026-08-26 13:17:32
0
mtumishi Adam mathias :
mtatuchosha na nyie
2026-09-05 19:47:02
0
Amani Mapesa :
hebu angalia maji sukari iko ngapi😂😂😂
2026-08-28 07:08:26
0
taliboy0 :
jamni ttz lipo katika mafutaa ya kawaid haya nd charnock cha magonjwa mingi
2026-09-01 04:44:52
0
blessed🇰🇪🇦🇪 :
tukula sabuni au?
2026-08-31 10:44:15
0
josephmangula917 :
hicho kiwago ukila kiasi gani maana huwezi kulamba asali lita moja
2026-09-04 17:27:01
0
Dudukwe wa mchongo :
umejiamuliwa mwenyewe hizo takwim ?
2026-09-02 20:30:40
0
user33719713040754 :
sasa tutie apple kwenye chai🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-14 09:53:03
0
To see more videos from user @betterlifebloodcare, please go to the Tikwm
homepage.