kitu msicho kijua boxer kwenye mtelemko inashuka kuliko pikipiki yoyote lakini shida huwa inakuja kwenye kupanda ndoo haina nguvu sana kama pikipiki zingine kama sino
2026-08-13 07:31:09
21
mokiwa :
boxer ilikuwa inaachwa lakini abiria aliomba mwendo upungue ndio maana wakati boxer anapita dereva wa sinoray alikuwa anaipoza na break
2026-08-13 13:27:33
5
𝗦𝗞𝗜𝗣𝗣𝗘𝗥_16 :
Kuna HD 150😀😀😀😀
2026-08-13 05:11:42
5
MWANANZENGO THE DRIVER🇹🇿🇹🇿 :
Tukuyu moja hiyoo 🤝✌️
2026-08-13 11:48:28
4
MWANJAX💎🌴 :
Achana na sinoray mzeee
2026-08-12 18:31:32
5
SIMBA MWENE :
hd mwisho 100
2026-08-13 18:46:06
1
Dalali Bariadi Simiyu 🏠 :
hamuogopi 😳
2026-08-13 11:15:26
1
shayor :
hapo ushamalZ sinoray hat 140 haijafika
2026-08-13 14:32:59
1
Ndesa._boe :
sino ni umeme bro
2026-08-13 05:52:05
1
Walter :
zote tumekaa nazo Boxer inachanganya ila kilometa 3 tu inasizi inapitwa ata navisanlg125
Amn uyo wa gear 6 sio mchapa gear boxer me hainikuti
2026-08-14 20:34:13
0
evanc✌️ :
hata Mimi nimeona snoray kapigwa Japo alisumbua kidgo lakini lilikua swala la muda
2026-08-13 04:56:31
1
𝐆𝐈𝐋𝐁𝐄𝐑𝐓 𝐌𝐀𝐄𝐒𝐓𝐑𝐎 :
gusa umemeee😆
2026-08-13 07:33:27
1
___khatibu9396 :
sino amn Dereva Hapo
2026-08-12 19:55:05
1
Ghost ☠️ :
HD hamnaga Kaz Ingekua BM hatar 🔥
2026-08-13 13:10:26
1
kurwa002 :
kama ni madigad juu boxer ni 150. hila kama ni boxer kawaida ni 144. apo wa indi wameturamba
2026-08-14 13:49:39
1
♰🅼🅾🅾🅽💫✨ :
@♰🅼🅾🅾🅽💫✨Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-08-13 04:22:21
1
Ulaya DE Claremont :
generated by AI
2026-08-13 06:54:10
1
Almas Mkatapombe :
watu hawaamini kwamba sinoray amekubali kichapo cha 140 km/h
2026-08-13 07:17:30
1
fodyomary :
💪💪😂😂mwanangu Box nimekubali huo moto kaka umetisha
2026-08-13 06:35:40
1
Wizzy khalifa :
sinoray sio ya kufananisha na kitu yeyote
2026-08-13 05:18:06
1
NINJAMAN047 :
napendag mambo kam ayo
2026-08-12 19:13:10
1
cheaf mahava :
kwa heshimaa ya 150HD
2026-08-13 07:23:13
2
To see more videos from user @brownmwamboja697, please go to the Tikwm
homepage.