@ashy_enzo1: ZINDUNA EPISODE 21 #fyp #eastafricatiktokers🇹🇿🇺🇬🇰🇪 #kenyantiktok🇰🇪 #hadithi #zinduna

ASHY ENZO
ASHY ENZO
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 18:15:04 GMT
905415
119121
2614
4170

Music

Download

Comments

user2629272295652
Ethan's maa😘😘 :
tunaongalia zinduna toka episode ya kwanza tujuane hapa🤣🤣
2026-08-12 18:25:37
1364
user1625104269404
user1625104269404 :
😭😭😭Simba tumefungwa zinduna nae hajaolewa naficha wapi uso wàngu Leo mimi jamani😭😭
2026-08-12 19:17:35
286
intisary49
🍡Intisary 🍭🍥😘 :
Nani anaangalia usiku wa yanga na simba😂
2026-08-12 18:56:11
319
pelican.hardware
Pelican hardware store :
tunao tumia wifi za watu gonga like hapa
2026-08-12 18:31:12
329
pachabrand5
pachabrand5 :
🥹🥹🥹hii episode imeniumiza san hurum kwa zinduna
2026-08-12 19:37:18
108
user5766957088066
the boss lady🥰🥰 :
tunaoangalia alhamisi asubuhi gonga like apa
2026-08-13 04:04:50
220
kavirakatherr
kavira katsere :
pole zinduna whouiiiiii la suite svp
2026-08-16 19:00:30
0
hoponess.barnabas
jodena🥰 :
jamn mbon inachelewaaa hivii😢😢
2026-08-13 08:17:57
8
ftygl1silentgirl
Silent Girl 🤫 :
A weeeee huyu daringi kamkula zinduna wetu Alafu anataka amuache amuachie nani jmn oiiii shuuuu
2026-08-12 20:10:48
5
user1625104269404
user1625104269404 :
😭😭😭 Simba tumefungwa zinduna nae hajaolewa naficha wapi uso wàngu Leo mimi 😭😭woiiii !shuuuu! wiii😭😭
2026-08-12 19:21:54
49
mimah0966
✨🍷MIMAH ✨🍷 :
dalingi Sio Wa kumfanyia ivi zinduna😂😅😅😅
2026-08-12 18:44:32
80
user7123341679567
user7123341679567 :
😪😪😪😪saa itakuaje jmn huku simba huku zinduna
2026-08-12 20:38:14
7
user1245y_
Miss mam❤️ :
anaetabir zinduna atabeba mimba nje ya ndoa like apo☺️☺️
2026-08-12 18:41:00
219
upendo238
Upendo Mwasanjala❤💕 :
Ila huu ndo uhalisia wa maisha yetu watu wana watu wao wanaowapenda atakama ataoa na kuolewa📌
2026-08-13 06:33:49
11
linahcutetz27
Linah-cutetz :
Wa saa tatu usiku Njoon 😂
2026-08-12 18:25:37
132
vee.baby845
Vee ❤️ :
Hawiiii simba imefungwa naumia uwiii shuuuu
2026-08-12 20:18:15
50
najmahassan4375
Nah Cute :
Ila wanaume hapana Kwa kweli😁😁
2026-08-13 04:13:04
18
dinah.maina4
🔐Dinah 💫💘 :
Hawa wazazi wapewe soda kwa bill yangu
2026-08-13 08:41:53
9
user9959622770455
user9959622770455 elizaberty :
jaman vip hari ya mpila uko
2026-08-12 19:10:12
8
si_mary0
Sity🧚‍♀️ :
Yooh nimepitia comment naona ni mm tu ndo nampenda lizaa😂😌
2026-08-13 08:03:03
11
baby.muuh41
muuh mzury :
jamani inauma shuuuuuuu
2026-08-13 08:40:19
6
anisaamusa5
Anisaamusa :
Nimeacha kuangalia mpira Bora hata nijiliwazee
2026-08-12 18:31:14
51
sada36709
Sada :
nmeelewa maumivu ya liza dah! inauma kwa kweliiiiiii
2026-08-15 07:58:25
5
nyakwar042
Ñyãkwãr :
Cha kukera zaidi ni et ashakipakua chakula chako zinduna😁🤣😂😂
2026-08-12 19:49:54
8
brina__sweet1
💥 Bri@na__sweet🦋🪄 :
WA saa8 usiku njooni 😩😩😂
2026-08-12 23:41:36
5
To see more videos from user @ashy_enzo1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About