ukiingia chooni choo cha mwisho unamkuta kibibi kinasonga ugali ila shule ya msingi 2010 iyo😁
2026-08-13 09:47:32
186
Julieth❤️ :
Usiku saa nane kuna mtu mwenye kwato anatembea corridor alikuwa anaenda kwa jina la “ms corridor😂😂😂😂”
2026-08-13 10:49:15
49
Dully :
Imagine mabomu ya Gongo la Mboto nilikuwa ninamiaka 10 ila nilikimbia kutoka Banana mpaka Tazara 🥹😂🙌
2026-08-13 11:21:11
43
Rahma Said :
Kuna rasta tatu watu wa tanga wanamuelewa
2026-08-13 05:45:48
14
❤🥀Itz Dyah🦋 :
Ukipiga odi kwenye vyoo vya shule unakaribishwa karibu mjukuu wang😂😂😂
2026-08-13 11:27:17
36
Amayra Collection❤️ :
mmesahau na zile chanjo na vidonge shuleni jaman😂😂😂
2026-08-13 20:24:06
14
am_feiyhma :
Maiko dad nilikw natoa history yake utsem nilikuw namjua eti ooh ana sura tatu mala alibakwa kaja kulip kisasi jamn😂😂😂mwanangu asilis huu uongo😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-08-13 08:43:12
33
dy :
Tuliambiwa pia dunia inaisha 2012.. tumeteseka sanaaa 🥹
2026-08-13 04:02:15
31
moonree :
mmhh ety ukipita shule usiku unaona makaburii😂😂🙌🙌
2026-08-13 12:21:16
8
Miss nee❤️🔐 :
Ndo maan tumevurugwa mda wote tupo attention😂😂😂
2026-08-13 08:45:19
6
🦋Zuuh outfit style🦋 :
Nakumbuka mabom ya mbagala yalitokea saa4 hasubuh ss tulikua tunakaa kalibia na kambi ya jesh siku usiku wa kuamkia siku hiyo hatukull usiku mzima nilizidiwa na Oma wakanipeleka ospital ya zakhem palivyo kucha tulikua tumetandika mkeka balazan ndugu zangu wana kunywa chai mm nimepewa uji na pembelezwa kula na sikua na nguvu ya kusimama lakin cha kushangaza mambo yalivyo taladad nilikimbia ad mkuranga kwa mguu😄😄😄
2026-08-13 23:33:38
6
mimy🌸 :
me mabomu ya mbagala yalivyo isha shangazi zangu wakaja nichukua niende kukaa nao gongo la mboto,hee baada ya mwaka nakwenyewe kukalipuka arafu usiku na nlkimbia mwenyew asee sitaka nisahau yan mabomu ya mbagala yamenkuta na gongo lamboto yamenkuta😂😂😂
2026-08-13 07:02:42
11
Huriath Yusuph :
Mnakumbuka shule ya msingi tulikuwa tunaambiwa tusiingiee choo cha mwsho kina majini😂😂😂😂😂😂ila zamani
2026-08-13 10:06:55
15
Little queen💖🍫 :
Apanaaa jamaniii Maiko dada ilitesaa sanaa
2026-08-13 11:56:58
14
KIZIM BLOOMS💥 :
ndo mana hatuko sawa jamani😂 uwiii
2026-08-13 07:42:40
10
Jojo neez store👚🔥 :
Kweny mabom jmn nlkuwa najiona km stelingi vile nlvyokuw nkimbia yn nlpenda kuzurula usku 😂😂 sikuile