ivi uyo doumbia anamsaada gan jaman mbona hama wametupiga kwenye usajili
2026-08-12 19:57:58
4
adela kandidus :
kipa naye ni shida, kamala huwezi kumfunga kirahisi uongozi wa simba umejaa umimi.
2026-08-13 07:07:41
15
🐽🦋Anty🐷rahama🦋🐽 :
me nasema Kila siku apa kipa atuna ahamed aliy ebu sema nao ao viongozi uyu sio kipa wakumtegemea kabisaa
2026-08-14 18:55:07
8
i.b one :
kama huwajui hata wachezaj wetu bora mkae kmya huyu doumbia mnamsema vbaya n steleka ila alikuwa ana shuka hadi pemben anakaba na unamkuta tena kwenye nafas yake kwa wakat sahihi. jiulize alipewa nafas ngapi jana akashindwa kutumia.,? ndipo umlaum
2026-08-13 05:11:57
7
wine :
yan simba wanajua kucheza ila kipa tyuu ndy hatuna
2026-08-13 10:33:28
4
cristiano :
ata kipa wa piesi anaanza kwa kasal
2026-08-13 10:15:28
4
mwana🥰 :
cjawah muelewa😅
2026-08-12 19:54:24
7
Home GI Decor :
mashabiki wa simba jmn tutakufa na presha ☺️🤣 ilaa simba sihami hata wangefungwa mara 50000000000000 nitafia simba na mangungu🤣🤣
2026-08-14 17:21:36
0
Helen :
kipa hakuna hapo🤔
2026-08-13 03:02:14
3
"Mad max🦺 "238💪💪 :
hapo amna kipa yani
2026-08-13 06:58:55
2
Godfrey jr :
kwakipa uyo bora tuweke shati golini
2026-08-13 06:49:56
2
jjshila119 :
ety akaita faulu hapo dah
2026-08-12 20:22:13
2
Tawaya wizzy22 :
atatuua uyu kipa
2026-08-13 04:23:04
3
Hamza Hamzadog :
hilo ni sharti bana hakuna kipa hapo
2026-08-13 02:18:06
1
cheikh ibrahima toure :
ila huyokipa nikupiga TU golini ovyo ovyo magoli yataingia tu
2026-08-13 06:08:36
1
Rama :
Yan ap Amna kipa
2026-08-12 20:09:54
2
Sadiki Malungula :
viongozi hatuna sisi tutafungwa kila siku watu wanajua kabisa kioa hatuna viongozi wanakwambia kipa mzuri
2026-08-13 00:53:55
0
Idda Sway :
kipa hamna kitu camara ndy kipa
2026-08-12 20:47:24
1
Diomiy Tz 2005 :
ili shuka tu sikipa
2026-08-13 08:36:19
3
Muddy Ally :
kipa mzuri alikua ally salum tena mzawa nanikipa wangu bora wa derby
2026-08-13 20:30:40
1
Frank John :
Viongiozi na wawekezaji ubabaishaji mwingi wanatuletea majitu hayaeleweki wanaacha watu wa maana
2026-08-13 06:06:09
2
To see more videos from user @shakusports, please go to the Tikwm
homepage.