@eindigitaltz: Waungwana Hapa Mnasemaje? Mtazamo wako ni upi kwenye hili?, Tupe MAONI Kwenye Comment Follow @CHEMCHEMI YA KIDIGITALI #eindigitaltz #einupdates #trendingvideo #fyp #sports

EINDIGITAL TV
EINDIGITAL TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 19:29:11 GMT
28155
330
20
39

Music

Download

Comments

sir.kichaura
sir kichaura :
Sio video support iliyokataa ni refa Arajiga ndio amekataa Maan hiyo video haiamui anae amua ni mtu
2026-08-13 17:18:22
2
khalifa.mwinyigoh6
KHALIFA MWINYIGOHA :
This is exactly what happened when Duchu of Simba was given a red card in a match against Kagera Sugar 😂😂😂
2026-08-17 18:08:43
1
emanuel.seneyo
Emanuel Seneyo :
arijiga sio mara ya kwanza kuwaumiza simba,kwahiyo arabica ni refa wa yanga
2026-08-15 09:55:36
0
amanjoseph776
Joseph Aman Nkinda :
clear penati
2026-08-13 12:47:47
1
said.hashil
Said Hashil :
Tff walitaka
2026-08-18 05:45:56
0
kikorejm
kajitugbu57 :
video haiwez kukataa, anakataa ni mtu
2026-08-13 17:25:18
1
malume.kingo
Malume kingo :
hakuna refa
2026-08-13 16:16:07
0
theob657971988
Theo#mnyindo :
kwann tukio la Anise Oura linafana na la pita shalulile lalikini simba amenyimwa faulu penat lakin la Oura kadi ya njano na faulu inga la Oura lililuwa si ndani ya Box
2026-08-13 11:05:19
1
juma.msenga5
BABA mwenye nyumba :
hapa kachamba balaa
2026-08-13 18:01:58
0
sonchibar
Sonchibar :
sheria hazitumiki
2026-08-14 20:52:39
0
hajihaji12012
HAJI HAJI :
Video ilikataa au Arajibwa ndo alikataa
2026-08-14 15:56:17
0
soipeyrolekimaki
soipeyrolekimaki :
amekataa Arajiga sio video support
2026-08-13 14:02:36
0
bujimupaschal
bujimupaschal :
wamekula na kuharibu tu Pesa za walipa Kodi lakin maamuzi ya Hawa waamuzi wetu Kwa kwel Bado sana ni Bora tu waitoe na isitumike kabisa tubakize tu makosa ya kibinadamu tuliyoyazoea😳😳😳🥹🥹
2026-08-13 13:16:08
0
user5516103007398
jumaaMartin14 :
kwa staili hii ya kuzivunjavunja sheria za mpira mtashinda kila siku hapa tanzania na mtaishia hapahapa kuwa machampion msahsu
2026-08-12 20:51:16
0
saidikaranje
Saidi Karanje :
kwa hali hii huu ni upuuzi na ushenzi kabisa
2026-08-13 18:14:51
0
meriusanania
Merius Anania :
video inaamua nn ana anae enda kuangalia tukio Nina si arjiga. huyohuyo adui wa Simba hatuon kilic hi o badirika kwa maamuz ya arjiga juu ya Simba hicho ni kichaka tu
2026-08-17 22:01:59
0
ezakielezakiel2
Ezekieli ngulai :
penate ya wazi
2026-08-17 17:41:13
0
yassen_joints_solution
Yassen_joints_solution :
kwan c hua anaenda refa peke yake sasa huyo mungine harnda kufata nin 😂😂😂
2026-08-13 15:09:47
0
halfaniibrahimu127
UNIVERSITY SPONSOR :
kunyanyua mguu tu ni kosa
2026-08-14 11:03:43
1
noely.mtomba
NOELI💀 kaka :
😳😳😳
2026-08-12 21:42:24
0
To see more videos from user @eindigitaltz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About