sijui nabahati mbaya kila nikicomment sipat like 👏👏👏👏
2026-08-15 17:56:58
426
MACODE :
natafta dawa ya kuacha kuingia ticktock
2026-08-14 17:00:56
645
A🌹n🌹g🌹I🌹e :
And this is what am gonna be doing starting from sept lord help me
2026-08-18 14:05:24
0
broken009 :
huwez kuamn nmekopa mb nije nisome comment 🤣🤣
2026-08-15 09:17:27
120
kidoatz🌸🦋✨ :
Eeh Mungu nikiona siku zangu mwezi hu naapia sitofanya tena tabia mbaya🥺💔😂🙌
2026-08-15 11:46:01
565
mpyanchoo655 :
mtu anakata roho nyie mnacheka
2026-08-17 09:45:08
92
SINIGO=TZD🦂 :
kama unamwamn mung tujuan
2026-08-15 17:26:26
799
MAGURISTEPHEN :
this is content or acting
2026-08-18 19:56:43
0
Entuga Kenya :
this is the end
2026-08-19 10:57:01
0
@johnyohn12 :
wajing wenzangu wa kusoma comment mpo
2026-08-19 13:13:38
14
Alexis OG :
hhhhhh bad Boy 😂😂
2026-08-18 12:19:33
0
Juma Beka :
Hii watu wa Gulf wasione🤪
2026-08-16 03:17:40
12
sheni mpole :
jamanii naombeni hii kazi kuhusu mshahara msijaly.
2026-08-18 11:26:14
5
rajuki_tz 🤪🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
kweli nimeamini maneno ya Babu yangu mwaka 2020 nikiwa kijijini alisema itafika siku koment yako itasomwa nawengi bila kujua wamepoteza muda wao bure😂😂😂😂
2026-08-16 10:42:30
11
lindah :
ni kakangu na mm pia nataka
2026-08-15 05:36:43
8
LADDYNEY CATERING🇹🇿 :
kwan hapa ndo tiktok.... sorry me nimetoka fecbk
2026-08-15 06:50:29
9
Rangi Girl💝 :
🤣🤣🤣🤣Mbn analeta hisia kazn
2026-08-17 10:20:22
10
M.D plus :
walio cheka sana kwenye comment ya popsy tujuane.😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-16 13:48:21
22
To see more videos from user @african_massage, please go to the Tikwm
homepage.