kumbe inakua inawaumiza sana eeh! sasa na Sisi hivyo hivyo tunajiskia vibaya kukataliwa kibaya zaidi tupo nje ya muda hatuhitaji maelezo mengi ya kubembeleza..yaani nimejitolea kubeba shida zako halafu tena nikunyenyekee hii hapana kwa kweli.
2026-08-13 05:36:08
16
Donny - J :
tatizo mnapenda kujiamulia mambo
2026-08-13 12:42:31
2
obedi mshani :
hatuna muda wa kupoteza wakati mpo wengi😂😂😂
2026-08-13 12:03:24
3
VALENTINE :
mda wa kutext zaidi ya mala moja ndo haupo
2026-08-15 07:04:14
4
moudkoffie :
we leave once tuliondoka haturudi
2026-08-14 09:33:01
5
To see more videos from user @__dunia2, please go to the Tikwm
homepage.