@binaupdates: Huyu hapa mangungu akitoka uwanjani kimya kimya baada ya kupokeza ngao ya jamii siku ya leo

Bina Tv
Bina Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 20:09:16 GMT
95567
2458
56
51

Music

Download

Comments

mdoe_20
ℝ𝕖𝕒𝕝 𝕞𝕕𝕠𝕩💨 :
doumbia ni mzuri akiwa bench
2026-08-12 21:00:14
5
t_giftshop_decorration
Tina :
nimekata tamaa kabisa mpka sasa na simba matumain haypo
2026-08-12 20:15:59
6
hancyfation
hancy :
mangungu nimeanza kumuelewa hiiwiki yatatu sasa
2026-08-13 09:06:32
1
ashraph21s
Ashraph 21 :
Ishakua nomaaaa
2026-08-12 23:06:50
1
dynes99
dynes99 :
kwanin mangungu havai jesy za simba
2026-08-12 20:41:07
0
rebeccamushi755
Rebecca Mushi :
huyo mangungu hanaga jezii kwann kama kweli ni simbaa
2026-08-12 21:11:11
1
user3761542377460
grace salah :
nachok simba tunaipend lakin wachezaj wanatuangusha moy na nguv yakuwa simba zaid ya plesha t😢
2026-08-12 20:21:47
1
morice8820
morice :
jamn kwan mangungu ndo anachr
2026-08-12 21:09:16
0
alphonce.michael5
Alphonce Michael :
hahaa et dumbia ni mzur akiw bench
2026-08-12 22:31:14
0
super.kings.fashi
super kings fashion :
dawa ni kihamia Yanga kwa Muda
2026-08-13 03:24:38
0
ezekiel.joseph52
New victor :
ila jaman mzee wa watu
2026-08-13 06:33:14
0
user8513066158200
Once Agein46 :
Ata kama Yanga wangefungwa na uongozi wao hawafanyi hivii ata kidogo
2026-08-13 09:56:07
0
tygeman
tygeman :
huyu mzee anateseka sana
2026-08-13 05:29:25
0
sayunimtey36
sayunimtey36 :
Hata vichaa lazima wapewe ulinzi
2026-08-12 21:01:53
0
suzy.vivian8
Selina :
[Sticker]
2026-08-12 22:26:09
0
poulfrancis0
poulfrancis0 :
hatuna timu wana simba
2026-08-13 04:13:47
0
faridajumaa196
Farida Jumaa :
kwa nini havai jezi?
2026-08-12 22:54:17
0
janeth9003
janeth :
mashabiki tumechoka uwongozi wa simba
2026-08-12 20:14:33
0
baloziwamjin
balozi wa mjini :
SIMBA IMEKUWA YA MANENO SIO MATENDO
2026-08-12 20:48:17
0
kazichunya1
𝑴𝒂𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒀𝒂 𝑲𝒘𝒆𝒍𝒊 :
waandishi mna balaa😂
2026-08-13 13:17:33
0
daylo_255
DAYLO :
iv kwann simba akifungwa mangungu analindwa sana ? naitaji majibu
2026-08-12 21:00:56
0
userbayo2009
bayo :
free simba sc
2026-08-13 07:10:55
0
user4723026963812
user4723026963812 :
angekaa daaa simba ingeshinda
2026-08-12 20:22:57
0
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About