@nicosportstz10: #Selemani mwalimu akiongea na wachezaji wa simba baada ya mechi#football #🔥💚💛

NICO10🍁
NICO10🍁
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 20:25:08 GMT
91792
5693
137
103

Music

Download

Comments

die4mumtaz
Die4@Mumtaz :
mligoo ataki shobo na masinichii
2026-08-12 20:48:04
74
user16114992201395
vema rofa :
tuna ona abel kaichoka simb
2026-08-12 21:22:57
0
cut.isabella
cut Isabella :
yatapita2
2026-08-12 21:43:40
0
user756603125275
Uncle Lastborn :
Yaaan nikimuona Sele namkumbuka ex wang alivyonifanya!!!
2026-08-12 21:05:00
23
rossemaryphilbert
rossemary Philbert :
huyu ndo kaenda kutoa Siri zetu Leo tumepoteza mech
2026-08-12 20:48:19
39
user33417730292544
emimah :
FREE SIMBA
2026-08-12 21:35:37
0
mamengzo
SHA SHA SHA SHALULILE COD 13⚽️ :
say sorry 😞
2026-08-12 21:34:00
0
tz_boy_cow
Tz_boy_cow :
Kila nikikumbuka tuliambiwa macho kwenye screen uume wangu una sinyaaaa🥺😭
2026-08-12 21:43:30
21
jailos.king
Jailos King :
yuda coming round
2026-08-12 21:09:41
2
abia869
beatanetwon :
Mligo nmeipenda hiyo hataki xhoboo na yuda
2026-08-12 21:01:42
10
yb_trevor
yb_trevor :
MLIGO AMEFNYA LA MAAN KUTOMPA MKONO SELEMAN
2026-08-12 21:01:15
19
mdenga.jr
mdenga jr :
kila kitu kina muda tuwe na subra tu itafika zamu yetu
2026-08-12 20:49:07
8
ahr3767
💍ČÑahrï🧢 :
Mm kama mwana simba siwez kumchukia huyu player sabab ni sehem ya maish yake na naamin hat club ingefika alipotaka yeye huenda angelikua sehem yetu na pia kama kachagua ni sehem yake pia sabab sis tunaon nnje tuu hatujui nimangapi wanapitia ndan ya vilabu vyao so kumchukia huyu nisawa2 nakuchukia mafanikio ya mtu
2026-08-12 21:36:28
12
agnessskalunde
amiry dm🤸👍 :
kwenye simu yang staki kuona picha zozot za yanga TikTok nawambia
2026-08-12 21:09:19
7
simbagoals
simbagoals 🦁🔴 :
ila nashion katoa ujumbe. A true lion msikilize kwa makini🦁
2026-08-12 21:20:57
6
nafuu_home_furnis
nafuu_home_furnishers :
mligo kama mimi kabisaa😁
2026-08-12 21:51:07
3
nuuheddy
It's-FirstBorn🦋💗 088@@ :
yn kma mim hpo namsukumaaaa msaliti mkubwaa hyooo🥺🥺🥺
2026-08-12 22:32:11
0
user7445048790782
chris :
otea kasali kamwambia nin apo selemani
2026-08-12 21:11:35
2
paulogwisu
gwisu27 :
mim ni shabiki wa yanga lakin jince alivokua anawaaga wenzake alaf ukichanganya na hii ngoma kiukwel imeniuma sana
2026-08-12 20:49:11
9
didan231
Didan Robert :
mligo safi kabisa hapendi masnich
2026-08-12 22:19:08
0
.mdemu
🌚🌚🌚chief :
mbona mligo hataki kusalimiana na mwalim
2026-08-12 21:44:15
4
shakirualkhan
DFHQ🇹🇿🇹🇿 :
usimuamini kassali dah
2026-08-12 21:24:57
2
catydeo
Caty Deo :
hv viongz wa simb hawaon hili wenzak wanalia jmn had nimelia japo m yanga
2026-08-12 21:43:07
2
user7261485853060rahabu
raha plumber :
cjawai umia kuusu mchezaji kuama Simba Ila uyu kaka nimeumia Sana sem bc
2026-08-12 21:44:23
1
joseph.john540
Joseph John :
Ndio soka hilo
2026-08-12 20:59:44
1
To see more videos from user @nicosportstz10, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About