@billo5947: #topmediatz🎤🎤🎤 #simbasc #yangasc #rgga #tiktok

Top mediatz
Top mediatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 20:41:09 GMT
103818
2602
212
230

Music

Download

Comments

shamba_boy255
Thãbeet_me🇹🇿🧑🏽‍🌾 :
me nikajua kaenda kurusha nyimbo😂
2026-08-13 04:07:39
24
pjovie1
P joviedon :
ukiona huyorefa anachezesha simba na yanga simba ujue simba anafungwa
2026-08-13 04:25:05
37
adinani.kassim
Ady kimbwaja $# :
hapan bro angalia vizuri ile ya upande wa kushoto kwa arajiga imegeukia uwanjani🤔
2026-08-13 07:31:35
11
aisherfaraj
Aisherfaraj :
Kwan Gori si limeonekana kabisa la kiharali sasa unaongelea nn hapo
2026-08-13 10:27:12
6
juakalenocka1
juakalenocka762 :
wanasimba wenzangu tukubalini2 kua yanga hatuwaweziiii tusitafute vichaka
2026-08-13 05:39:36
6
user698188046599
mbunda j :
huyo refa ni wa yanga matukio mengi anayafanya kwa simba
2026-08-13 04:02:07
2
user9935005362045
user9935005362045 :
KIUKWELI HAKUNA VAR NA HAKUNA HAKI UONGO MTUPU NA UONEVU MKUBWA, SIMBA KAONEWA
2026-08-13 03:17:55
2
zakayomauly1
Zakayo Mauly :
anaogopa serikali yake mana simba wanacheza na CCM
2026-08-13 02:20:13
3
0786662478namb
J€b@ k!dd¥🙄0ff!c@l :
jama kwan hii ni nn
2026-08-13 05:40:25
1
cutexama3611972151651
cute xama :
kwer kabs
2026-08-13 04:08:57
0
user97918523170418
Tunu :
apo tulinyimwa gorii
2026-08-13 05:47:35
0
budatz444
VASSCO DAGAMA :
hioo nn ipooo kwan
2026-08-13 02:38:04
2
selvina.sanga
Selvina Sanga :
kwa juu unaangaliaj TV
2026-08-13 04:57:34
1
qlb631
Bongo connection :
Angalia vzr
2026-08-13 08:16:49
1
wwwrrttyyh
lichi01 :
nikweli kak
2026-08-13 04:54:14
1
king.ommy45
Ommy 🇹🇿 +🇦🇪 :
🥰haina mbona hiyo
2026-08-13 04:54:57
1
fishfish501
JIBWA 🦮 :
VAR sio suruhisho mana hata uko uraya timu zinanyongwa kikubwa yanga wameshinda tujipange upya ila yanga ipo siku watakuja kutuona sisi ni wabaya
2026-08-13 09:46:58
1
rufegar
Michael :
alachiga ni yanga dam dam, kwahiyo simba hamna chenu hadi nawao simba wapate refa
2026-08-13 10:57:39
1
mk.erick85
Mk Erick :
acha uongo..screen moja inaangalia upande wa ref
2026-08-13 06:11:27
1
user2271738017444
Tonny47 :
kweli kak tuasaidien
2026-08-13 04:48:54
1
asha.mohamed624
Asha Mohamed :
[Sticker] kwaiyo kanye sasa
2026-08-13 04:17:56
1
user2128484176310
mwanaaisha :
yeye ameenda kuwauliza si unajua huyo ni refa wa yanga
2026-08-13 04:20:42
1
user2629612954353
Aishaiddi :
Angalia vizuri utaona screen
2026-08-13 03:48:28
1
kidu818
maukhan :
😂😂😂😂😂😂😂😂nikajua kaenda kumwambia dj arudishe ngoma iliyopita
2026-08-13 11:47:45
1
user6386835467207
malale.lazima :
tatizo hakiri 🙏 kaka
2026-08-12 20:49:44
0
To see more videos from user @billo5947, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About