sawa sawa angebaki Simba angenyanyua kwapa mwaka gani
2026-08-13 04:06:16
48
DENIS MITUMBA @MITUMBA & DENIS :
This is YANGAAAAAAAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 welcome SELEEEEEEEEEE
2026-08-13 05:13:48
0
adriano :
ni jambo la kumshukuru mungu yanga ni bingwaaaaaa
2026-08-13 03:29:54
29
dln :
hiii yanga inanipa raha kuliko ata mke wangu 😊
2026-08-13 05:54:51
15
emimah :
FREE SIMBA
2026-08-12 21:53:41
0
Sally Cuttie😘 :
simba walivy na rahaanaa bad watasem goli lenyew moja lkn wao wangefung hilo gori mbon tungetafut pakujigichia yote kw yote YANGA BINGWA🏆💚💚💚💚💚💚💚💚 hatun maneno meng sisi ni kupelek moto tu🔥🔥🔥🫡
2026-08-13 05:57:22
7
Herieth93 :
mboso nae aliona mbalii😁😁😁
2026-08-13 03:43:30
10
gracious :
dah yanga hawana roho mbay ni kuwakera tu😂😂😂😂
2026-08-12 22:00:47
14
babukunoga :
kunyanyua kwapa Kuna Raha yake hata usipopewa hata mia😊
2026-08-13 04:42:09
5
ERICK CR7 🐐 :
jana nilimuana yuda
2026-08-13 05:43:11
1
Mussa Ntimba :
jangwan laha kwer
2026-08-13 05:26:22
1
Muhidini Mwendwa :
bigup yanga bingwa
2026-08-13 04:53:40
1
Golden@holder :
jamaa lip ndan ya furaha waheng hoi
2026-08-13 05:11:43
1
lucky nicholous cage :
anaechukuwa community shield asahau kuhusu kubeba league
2026-08-13 02:20:20
3
DazBoe🔞⚽️ :
hiyo ndy ndoto ya kila mchezaj boli
2026-08-13 05:32:40
1
VanillavillageZ :
Selemani kuamia yanga juzi tu umenawili hivyo jamani
2026-08-13 06:20:48
1
alya saluum :
ungekuwa Simba usinge ligusa Hilo ungeliona kwenye sim tuu au tv🤣🤣🤣
2026-08-13 03:51:11
1
betajony2 :
💚💚💚tuna tamba sio shida zetu
2026-08-12 23:12:58
1
rachel@ :
Pamoja sanaa
2026-08-12 23:02:15
1
Nusra Mpulule :
ww kuweza et hela ipo bank akacheze mwenyewe
2026-08-13 04:14:45
1
kazinikazimotors :
Aibu Wataona waooo!💯💯Haya Ni Maisha tu!Bwana Selemani amekuja kwetu Yanga kutupa Rahaaaa💯💚💚💚
2026-08-13 00:44:37
1
Gicolian :
Waoooh yanga yangu nawapenda snaaa
2026-08-13 08:28:27
0
nino baby :
Bora mwanetu umrkuja kupumzka maumiv maana kwa team ile ungeumia san
2026-08-13 08:30:01
1
To see more videos from user @yangascbingwa, please go to the Tikwm
homepage.