@doctor.lucky14: MTOTO WA JICHO UNAWEZA KUANZA KIMYA KIMYA—USISUBIRI UONI UMEPUNGUA NDIPO UTAFUTE MATIBABU! 👁️⚠️ Mtoto wa jicho (cataract) hutokea pale lenzi ya jicho inapokuwa na ukungu, hivyo kusababisha kuona ukungu, mwanga kukusumbua au kuona vizuri kupungua. Ukigundulika mapema, unaweza kupata ushauri na matibabu sahihi kabla tatizo halijaathiri zaidi uoni. #macho #afya #doctorprossy #matibabu