@girlie.charm: Baba yetu wa mbinguni, nakushukuru kwa zawadi ya siku hii uliyonipa. Asante kwa ulinzi wako, afya, riziki na kwa kila jambo ulilonitendea, hata yale nisiyoyaona. Ee Mungu wangu, ninapoenda kulala usiku huu, naweka maisha yangu mikononi mwako. Nilinde mimi, familia yangu na watu ninaowapenda. Ondoa hofu, mawazo, huzuni na kila jambo linaloninyima amani. Bwana, nisamehe makosa yangu yote niliyoyafanya kwa kujua au bila kujua. Nipe moyo safi, hekima na nguvu ya kuanza kesho kwa matumaini mapya. Nifungulie milango ya baraka, kazi, mafanikio na riziki. Kila jambo linalonizuia kusonga mbele, kwa uwezo wako niliondoe. Niongoze katika maamuzi yangu na unipe watu sahihi katika maisha yangu. Usiku huu nijalie usingizi wa amani, uniongoze katika ndoto zangu, na niamke salama kesho nikiwa na nguvu, afya na moyo wa shukrani. Mama Maria, uniombee. Malaika wangu mlezi, nilinde usiku huu. Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina. ๐๐ฝโค๏ธ#maombi #fyp #varil #foryou #kenyantiktok๐ฐ๐ช
@girlie -charm
Region: TZ
Wednesday 12 August 2026 21:28:06 GMT
Music
Download
Comments
Diana kitala :
amen I receive in Jesus name
2026-08-28 20:24:30
0
๐คHELLEN25๐ค :
in the name of Jesus. amen
2026-08-28 20:27:10
0
nature gal :
amen I receive it
2026-08-28 21:32:27
0
KELVINNY ๐ฆ
โ
:
Always God ๐ฃ๏ธ๐๐ฟ
2026-08-28 18:37:54
0
Ester lema :
Naomba no ya wsp
2026-08-27 22:21:36
1
happyjacob7 :
A๐๐๐AMEN AND AMEN
2026-08-28 20:59:45
0
mary ๐น :
Aminaaaaa napokeya kwajina la YES Amen ๐๐
2026-08-17 20:08:48
151
Happy John :
amina napokea Kwa jina la yesu ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
2026-08-15 19:37:18
75
1982 :
Amin mtumishi wa Mungu
2026-08-14 20:54:03
50
Recho Charles :
amen mungu wngu nisaindie baba yngu ๐๐๐
2026-08-18 19:22:19
37
nguo kali za watoto ๐ฅฐ๐ฅฐ :
Amina Mungu wangu ww ni mfariji wa wanyonge ,mume wa wajane,baba wa yatima tunaomba baba ulinzi wako ๐๐๐
2026-08-12 23:33:46
35
Zai me :
emeeeeh napokea kwa jina la YESU๐๐
2026-08-17 21:07:09
10
suzana edward :
naamini ipo siku nitatoka katika kifungo iki
2026-08-19 22:38:41
9
flora๐ฆ โฅ๐ฆ :
Aamina napokea kwa jina la yesu
2026-08-23 19:35:02
9
๐ดJonsoni boy๐ด๐ด :
amiina
2026-08-17 20:54:32
6
Jane Nehemia :
Ameen Naomba nifanyie wepesi Mungu ๐๐
2026-08-17 19:10:06
5
Pirlo_Msanii_Tz :
Amen na ubarikiwe sanaa๐
2026-08-14 21:37:51
8
suzany_frank โค๏ธ๐ซ๐ :
amina napokea kwa jina la yesu
2026-08-26 19:45:33
8
johariyusuph :
owee mola wangu nifungulie milango ya rizki nipate na mimi na magumu yangu nifanyie wepesi na mimi niwe kama wenzangu wanavyopata
2026-08-14 22:38:26
12
fetty๐งธ๐ฅ :
Amin
2026-08-20 23:25:08
3
Iddi Said :
aminaaa
2026-08-18 20:01:00
2
Mama Miku Agnesfrank :
amen maombi ni dawa๐๐๐๐
2026-08-16 21:36:16
2
Maliamu James :
Amin Asante
2026-08-15 19:13:18
3
Teddy eman๐ :
Mungu atulinde ๐
2026-08-23 21:34:13
2
lavunece :
amina napokea kwanjia layes
2026-08-15 22:02:16
2
To see more videos from user @girlie.charm, please go to the Tikwm
homepage.