@usermusmart: musmart #princetoney🥰🥰🥰🥰🥰🥰

Musmart(baba mchungaji)
Musmart(baba mchungaji)
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 12 August 2026 21:30:27 GMT
40891
2146
173
184

Music

Download

Comments

bossah__vanessa
bossah__vanessa🌹🌸🌻 :
Sio kwel biblia imeandikwa na watu waliojazwa na roho mtakatifu
2026-08-13 11:45:46
5
254mwaria.s
Ishmael mwaria :
na ukiwa na maswali wanasema hauna roho
2026-08-13 14:12:32
31
ahabumpogole
ahabumpogole :
ninyi mji salimishe kwa allah pekee
2026-08-15 14:34:23
4
igwe.ikaku
AFRIKA BADO GIZA 🌑🌑🌑 :
NA QURAN ILIANDIKWA NA WATU WENGI PIA 🙌
2026-08-22 05:04:36
1
user6148358614290
Zakaria :
Masha Allah good job 👍💯
2026-08-13 06:06:31
25
kipkosgeiedwin037gmail.c
Eduu 🇰🇪📌 :
nyinyi ndio mnapotesa watu bro soma hio full statement ya hio verse
2026-08-13 08:02:49
1
user4108256367366
Hussein Alonzo :
Mimi naishi Burundi ila ni moja mwa watu ambao wanapenda kazi yako big up saaan ndugu
2026-08-12 22:32:39
17
nshimirimanaeric66
The thinker :
biblia ni propaganda tu
2026-08-13 05:52:35
13
albert7choi
Albert :
unahitaji ujazo wa roho mtakatifu ndio uelewe na kupata ufunuo wabiblia
2026-08-29 14:04:49
1
daniel.mlawa7
MHINJIRIST..MLAWA :
akuna mkilisito anae amini ivo ilatunaamini bibilia iliandikwa nawatumishi wamungu manabii walioongozwa naloomtakatifu wengine wakionyeshwa maononamungu mwenyewe
2026-08-13 13:30:18
2
kidanux
kida nux :
bibilia himeandikwa na watu tofauti tofauti wakiongozwa na roho mtakatifu
2026-08-13 16:41:45
1
costa.chengula
Costa Chengula :
hata baba wa Yesu Yusuph,, baba yake anayetajwa na Mathayo anasema ni Yakobo,Luka anasema baba wa Yusuph ni Eli
2026-08-13 12:04:58
8
user52639336908472
kibarunasi :
hawato kujibu bro
2026-08-12 22:57:22
10
issa.ibrahim573
issazee 💥👌🤫❤️‍🔥❤️‍🔥🇰🇪 :
m.a bro wngu 🥰🤲🤲🤲
2026-08-13 21:28:07
3
japhari36
JAPHARI :
Alhamdulillah kwa neema ya uislamu
2026-08-13 15:55:46
3
moodyssalim
moodys :
KUJA KWA UKWELI WA MUNGU NI QURAN KITABU KITAKATIFU. HAPO NDIYO KILA KITU. KARIBUNI KWA UISLAMU 🙏🙏🙏
2026-08-15 13:27:44
3
thomasmchau7
ask_of_u :
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali.. Biblia ina Neno la Mungu,pia ina Neno la shetani pia ina Neno la Mwanadamu. kwenye biblia kuna jibu zaidi ya moja kwenye swali moja.. nani alikwambia biblia iliandikwa na Roho Mtakatifu?
2026-08-13 10:05:14
1
ramadhan.mkoma0
Ramadhan Mkoma :
Kweli hata time ya kusulibiwa tena kuna utata
2026-08-15 08:13:38
1
mwamambo001
MWAMAMBO 001 :
jmn qurn ndo imenyooka ataikue imeandikwa wapi
2026-08-15 02:08:00
1
mariamkwizera2
mariamkwizera2 :
kk we uko sawa nakukubali , ndo mana biblia niyauongoooooo
2026-08-13 15:39:12
2
hassan.kipyego
F B I kenya :
islam the best
2026-08-14 19:14:31
2
berblly.27
Berblly Hb :
😂😂😂..hao wenyew hawaelewani
2026-08-13 06:48:42
1
toppshataa
topp :
roho mtakatifu wako wangapi
2026-08-13 09:29:46
1
madembo6
madembo254 :
na bado wanakwambia huna roho mtakatifu wkt ao wenyewe pia hawajui ilikuaje
2026-09-06 17:51:42
1
jeremiah.daniel82
jeremiah Daniel :
sema mathayo vizuri
2026-08-13 07:04:08
0
To see more videos from user @usermusmart, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About