weka namba zako kuna kazi ya duka ra nguo sinza madukani sister
2026-08-15 03:43:54
17
Zebedayo iPhone store :
Sijui kwann kila nikilala na mwanamke anapata kaz
2026-08-15 04:39:15
12
princess Rey 🦋 :
tulikimbilia kusoma comment tujuane🤣🤣
2026-08-13 12:20:12
16
Omar Dola🙊😜🙃😎 :
Shida yako jirani hutaki kupendwa...😩😭😭
2026-08-13 03:18:00
16
FARHIYA😍💦 :
yani me ndo nishachoka nimetafta kaz wat hawatak kuku saidia wanatak wakukaz nimechoka wallah mem🥺 labda muda wangu bad aloupanga allah
2026-08-14 14:31:15
10
DALALI KIJICHI PACHA.26 :
Allah AKUWEZESHE MPAKA UWEZE UPATE HITAJI LA MOYO WAKO inshallah KILA KITU KITAKUA SAWAAA🙏🙏
2026-08-13 04:54:21
7
mkali kana :
ila ulivyo mrembo
2026-08-15 04:48:18
3
أليكس👿👿🍁 🥾 :
upo maeneo gn
2026-08-13 13:18:42
2
Nana😍🫀H🔒 :
pole kipenz Allah akufanyie wepesi utapata
2026-08-13 18:24:21
6
MP :
kutafuta kazi imekua kazi asee ukipata ahueni wakumbuke wanao 🙏
2026-08-15 08:52:14
1
shax :
msaidien jaman bila kumuomba chochote kitu , leo kwake kesho kwako
2026-08-14 19:40:37
3
Aldoph :
Vp umeshapata kazi?
2026-08-13 15:10:12
3
Riziwani Ally :
NIPE NAMBA ZAKO KUNAKAZI DUKANI KALIAKOO
2026-08-13 09:10:46
1
dee park mnyma :
ume kuwa sasa
2026-08-13 11:50:04
1
It’s mill 🥰❤️ :
Kuna watu pia huku hawana kaz na wapo dar na maisha magumu pia Ila kuomba kaz mtandao lbda hiv wanaona ni kujidhalilisha hapan huwez jua hatima ya Mungu wallah ukipata na mm niunganishe nipo serious 🥺🥺
bora wew umekuwa mkweli mung akusaidie nataman nkusaidie ila ndo hivyo siwez 🥺
2026-08-17 21:58:36
1
Irene Haji🥰 :
Jamani mume wangu pia hana kazi mwenye kazi yoyote amsaidie watoto wasife njaa
2026-08-15 05:05:57
3
MBEGA CHIPS 🍟 :
mshukulu mungu kwa kila jambo
2026-08-13 13:56:27
0
cReAm_MuSiC_LaBeL :
Mdogo angu Mwasiti kazi ipo utapata lakini mpk October (uhakika)
Vuta subra mdogo angu ila kama utajaaliwa kupata pia hana shida...
Mimi ni mwanaume I sure ukiona mtoto wa kike amefikia hatua hii ujue amekua kifikra na pia ana changamoto kweli...
Pole sana dogo
2026-08-14 16:29:50
0
juma~spice_darajani Zanzibar :
upo wapi
2026-08-13 11:22:49
0
munira🇹🇿🇦🇪 :
fanyen maamuz ya kuja gulfu uku ndo limekua kimbilio la wadada wengi japo tunalia lakin mwisho wa mwez unasoma vzur
2026-08-15 05:38:04
1
mpemba hardware :
sorry madam unaishi dar au mkoa gan
2026-08-15 11:56:38
1
To see more videos from user @sitty_cute.tz, please go to the Tikwm
homepage.