@jwtz80: Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limeendelea kufanya vizuri katika operesheni za Umoja wa Mataifa za kulinda amani duniani baada ya afisa wa JWTZ kutunukiwa nishani ya Umoja wa Mataifa kwa mchango wake wa kulinda amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Afisa wa JWTZ aliyetunukiwa nishani hiyo ni Meja Patrick Jilili aliyetumikia nafasi ya Afisa Mratibu katika Idara ya Mafunzo na Operesheni  tangu  Agosti 2025 hadi Agosti 2026, chini ya Brigedi ya Kujibu Mashambulizi (FIB)-MONUSCO. Baada ya kukabidhi vyeti kwa walinda amani mbalimbali kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mkuu wa Vikosi vya MONUSCO Luteni Jenerali Ulisses Gomez amepongeza juhudi za Maafisa na Askari hao katika juhudi za kulinda Amani Mashariki mwa DRC. Nishani za Umoja wa Mataifa ni tuzo maalumu ambazo hutolewa kama ishara ya kutambua utendaji kazi bora, uadilifu, na uzalendo katika maeneo yenye migogoro.

Tanzania military
Tanzania military
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 05:54:07 GMT
47443
2458
32
12

Music

Download

Comments

hlim.mpmb
🧸ACHUZY ~BRAND👑 :
Mbona kaka angu mbka leo hajarudi😭😭😭
2026-08-16 04:34:13
4
user9226128322635
panya mkali :
Nyie amna baya wanetu kazi zenu zinaeleweka na tunaziona na tunawakubali😇🥰
2026-08-13 13:39:03
2
nyamooh.mwita
Angakene :
God bless Tanzania 🇹🇿 God bless Africa 🙏
2026-08-15 18:13:32
0
jully.mhochi3
Jully Mhochi :
Amani🤔🤔
2026-08-16 06:40:01
1
bwire0870
MR BWIRE :
jamani kitu mimi napenda ni hii maana hata kama utatamani kurudi nyumbani kuna kitu kinawafanya makamanda wabaki kama unakijua comment hapo
2026-08-16 11:55:06
1
wwwiddy
idrisaa bilali🫁 :
kwan ndo walikua wachache ivo au wengine wametangulia mbele za haki ☹️☹️
2026-08-21 07:10:02
1
abdulkarim.khamis17
Abdul karim :
bravooooo TZ@
2026-08-15 12:29:18
0
eriaseriasseria0
26lifeeri :
nakubali sana
2026-08-15 22:53:22
0
vedastus.peter.079
vedastus peter :
nafasi wakuu
2026-08-13 21:54:04
1
edward.edward.jos
Edward Edward Joseph :
mheshiwa naomba san🙏🫡
2026-08-19 09:22:20
1
michael.poo.rob
Enough ♈ :
🧎🏼‍♂🧎🏼‍♂🧎🏼‍♂🧎🏼‍♂
2026-08-15 18:10:49
1
real_masukhan
M@$u Kh@n :
niambie hizo uniform ni majeshi ya nchi ngapi apo?
2026-08-31 12:48:27
1
trejo.142
Trejo :
JWTZ TIKTOK
2026-08-13 08:45:48
1
gucho.saka
Gucho saka :
mim ninachojiuliza icho cheti nikizito kwanini katunishaa KIFUA
2026-08-15 16:48:35
0
samtom970
Samtom :
iimalishe hyo misingi ya amani ndan kwanza
2026-08-13 08:27:18
0
user8508441738147
alsme :
2026-08-18 18:16:34
0
gxrexyle
gx rexyle :
Jwtz in blood
2026-08-13 15:47:54
0
tindeclassic666
tinde classic :
i love this job
2026-08-14 10:47:51
0
user39492048692806
anod mbotwa :
iiiii
2026-08-16 08:05:09
0
only1_bad
ɓäđđɛsţ🌱çŕazÿ🌟 :
mungu atanisaidia nami ntakuwa mionqoni mwa familia yenu na kufanya kazi hekima,juhudi na uzalendo pia
2026-09-01 09:37:40
0
cholokhan39
cholokhan :
🇹🇿🫡
2026-08-16 11:27:42
0
user033445688
fai💫✨💞 :
🥰
2026-08-14 08:14:53
0
area51jogging
AREA51 JOGGING AND SPORTS CLUB :
🫡 🪖
2026-08-16 14:22:39
0
de.creezy3
De🥶creezy🍁🤡 :
🫡🫡🫡✊
2026-08-15 21:34:42
0
mahelo_king
mAhelo_kiNg :
😎😎😎
2026-08-13 07:59:41
0
To see more videos from user @jwtz80, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About