@nicosportstz10: #Eng hersi na chama jr baada ya match#Soccer #

NICO10🍁
NICO10🍁
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 05:59:11 GMT
303353
30873
956
489

Music

Download

Comments

chweetylleny
chweety lleny 😘 :
Kocha ana wasiwasi na wachezaj wake 😅😅 anahis watapotea mda wowt
2026-08-13 08:01:49
579
sipho226626
sipho226626 :
what's going on here? translation pls
2026-08-13 13:17:51
1
jonasmwinuka07
jonas mwinuka :
mbona kama kocha wa simba anawasiwasi na engineer🤣🤣🤣
2026-08-13 07:31:39
504
user7445048790782
chris :
chama anataka kulia ana mwambia hersi nisajili nikae Ata benchi tu
2026-08-13 08:20:25
276
eric.chamy
eric chamy :
freesimba
2026-08-13 11:03:20
1
mr.nuhu82
MR NOAH :
Uyu heris anatulogea wachezaj wetu
2026-08-13 07:01:12
93
observer_philosopher
Observer :
Mbona Coach anamind?
2026-08-13 09:42:47
1
user471048798697
mark sam :
Daa had huruma ❤️❤️❤️
2026-08-13 16:48:10
1
user9765597261844
revoe :
Engineer anao uwezo wa kutorosha hata huyo kocha mwenyewe
2026-08-13 07:56:17
116
kondoganntao
rihna cute🌹🌹 :
mbn kama engineer ajamalizan na simb vzr sielew na cham pl
2026-08-13 08:12:49
2
edisonedmin
Edison :
naipenda yanga kuliko mke wangu
2026-08-13 10:18:48
39
junaiya001
@junaiya#001 :
msiogope wana simba ilo nikumbato tu sio mkatabaa😂😂😂
2026-08-13 08:39:22
49
ivonabelle
ivonabelle :
mununue
2026-08-13 10:55:04
1
yosina.sibuti
Yosina Sibuti :
Naipenda yanga kuriko mpenz wangu🥰🥰🥰
2026-08-13 11:34:31
13
zakayo.paulo3
MUNGU KWANZA :
kuweni makini chama ataibiwa 😆😆😆
2026-08-13 10:07:20
7
eliezer.sifuel
Eliezer Sifuel :
Huyo anawakunbatia wachezaji wetu kwa ajili ya kuwachawia au?
2026-08-13 08:56:48
9
yalidy52
ABBYGELY👌💦💫💟 :
wanasimba Kuweni makini na GSM siku sio nyingi simba inasajiliwa yanga😂😳😳😅😅😅😂😂
2026-08-13 09:50:37
10
user73862311386245
user73862311386245 :
kama mnaamin chama ajapenda kukumbatiwa na huyo injeener like hapa.
2026-08-13 22:52:01
5
usernamnanachamy
lastnigy🥰~☆ :
Engineer hersi hana baya Boss wetu 💚💚 anaupendo hana kamdomo jmn tupewe nn sisi
2026-08-13 10:13:19
5
alphanpaul
CR7 mwananchi :
kocha anamuangaria hersi anasema kimoyoyo bab kwan na mm hunioni nikawe hata wamagori kipper😂😂😂
2026-08-13 07:50:50
175
user1873656778881
Hussein :
side Yuko wapi aje atutofasilie tuweze kuelewa walichokuwa wanadokezana
2026-08-13 13:25:04
8
user1080663627955
user1080663627955 :
mbn kocha kama anaogopa saanaaa😅😅😅
2026-08-13 07:31:57
45
socionol
os-petrovic14 :
hiyo hata shule tulifundishwa, inaitwa "kuwatia moyo wazee"😁😁🤣
2026-08-13 11:10:02
10
linah4983
Agape ♥️🇹🇿 :
kocha ana wasiwasi hataki kukaa mbali na injinia asije sajili mtu uwanjani😂😂😂😂😂😂
2026-08-13 10:13:22
18
To see more videos from user @nicosportstz10, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About