nimeweka stustas boss kaview wa kwanza๐๐๐
2026-08-13 09:06:27
12
ukht,A :
Asante bro barkiwa
2026-08-13 09:12:55
0
Its V๐ :
Status shwaaaaaaa
2026-08-13 09:21:46
0
Asterita John :
jaman mi nahc tuunge group la kuwasema maboss afu katongo awe admin๐คฃ
2026-08-13 07:00:50
71
winniemollel726 :
nmetaka kuweka status nikakumbuka kesho naweza nisikurupuke๐๐๐๐๐๐
2026-08-13 08:01:33
11
zey ๐ :
๐คฃ๐คฃ๐คฃ NACHOKA MM
2026-08-13 08:59:23
0
MR.FEM& :
naomba mnisaidie what is human rights??
2026-08-13 07:34:18
2
@Blackicey๐ค :
haswaaaa
2026-08-13 07:14:29
0
Jelai Lai :
Katango kuna mtu anatangaza hujatairiwa
2026-08-13 09:42:23
1
ms Rhoda :
niliweka status jana. saivi niko mtaani natfa kazi ๐ ๐ ๐ kweli na nmekurupuka kuwek status ๐ ๐ ๐
2026-08-13 09:10:31
2
Mapema Electronic :
tafuta akaunti ya tiktok ya bosi wako ushee nae๐๐
2026-08-13 09:09:36
1
๐lt's vee๐ :
nimeamka zang asubuh mapenza najiandaa kwenda kazin nikaingianzaku TikTok nakutania na hii halaf nimeajiliwa ๐๐๐๐
2026-08-13 09:37:50
1
martha๐๐ :
wapi huko ambako maboss zenu wanakuja ofcin kwenu niwakwepe nisiombe kazi๐๐๐๐boss Wang hata sijui kuja ofcin ni lini ๐๐๐๐naenjoy sana
2026-08-13 08:24:41
9
Lucia Benedict :
natamani kupost ila boss ataona ntafukuzwa kazi๐๐๐๐
2026-08-13 08:48:41
4
Lychee_de_ladie :
aloo๐๐๐
2026-08-13 06:47:03
2
Aisha ๐ง๐ฎ๐น๐ฟ โจ๏ธโจ๏ธ :
Ila kuajiriwa ni utumwa nyie๐๐๐๐๐
2026-08-13 07:30:52
1
Revogatha Faustin :
hapana wewe umekosea mAana halisi nikwenda ofisini afu unapewa hera ya nauli kwa ajili ya kulipoti tena kazini mwezi ingine
2026-08-13 08:53:38
1
dan :
daah imeniuma iyo haki ya mungu huu mwezi ukiisha naacha kazi
2026-08-13 09:05:30
1
To see more videos from user @katango79comedian, please go to the Tikwm
homepage.