huku kwetu atujawai chota maji mchana yanaanza saa5 ucku saa 11 yamekatika wanga awajawai tukuta vitandan
2026-10-01 07:33:11
0
heppiy :
yaan huku mbezi ndo maisha yetu hayo wanazinguwa kweli miezi hata mitatu mikavu hmn maji alafu wanatoa usiku siku Moja sio kwel wanazinguwa sana
2026-10-01 06:58:14
0
Abdul :
kwakweli waambie hao
2026-08-13 18:12:26
3
Aisha Mgala :
yan nimecheka sana usiku wakuamkia jana nimekesha kukinga maji
2026-08-14 04:49:26
3
@msdj_genz :
hatu mm kuna kipindi nilikasilika maji Kila SIKU yanatoka usiku saa nane nikasema siamki na sichot asubuhi Nampa boda akaniletee maji nimechoka mm umasikin wakipuuzi kabisa niache usingiz wangu mm maji yenyewe Hata ukichota hayatoshi
2026-09-30 10:48:31
1
Gwido Mduda :
hey rudia wanafanyaje prupupu
2026-09-30 21:38:37
0
SESKO ⚽️ :
daah ila kweli jamaa ana hoja
2026-08-15 18:41:12
1
🦋 :
Hahahahahh …. SIAMKI NA SICHOTI😳😳😳😳😂😂😂😂
2026-08-13 19:18:13
0
awamo :
@ok
2026-09-30 17:10:54
0
Neema :
2026-09-30 08:51:54
0
hajimweta :
😂😂
2026-10-01 07:18:41
0
G. Nick :
mtu ache😂😂
2026-09-30 17:49:04
0
Raymondy Anthony :
2026-09-30 16:51:41
0
Hapi🌼 :
yaniiii
2026-09-30 18:59:10
0
Franklin John Rugakila :
dah! hii kwetu😂😂
2026-08-14 12:55:53
0
To see more videos from user @ogkimwaga, please go to the Tikwm
homepage.