Daaaaah zamani matukio ya hizi nyimbo yalikuwa ya kweli kabisa hii Majibu ya SIWEMA kwa Mume wake SADIKI, Unanikumbusha zamani kipindi hicho tulipo kuwa watoto wadogo tusikiliza nyimbo hizi kwa Kutimia Radio ya Marehemu Babu yangu Mzee Omary, MWENYEZI-MUNGU akurehemu kila siku itwayo leo Mzee wangu.